Mimi binafsi nimeshaoa hila nishawawekea tangazo jamaa zangu 2 na mmoja anaoa mwezi 12 kila kitu kimeshakilika sasa kuna rafiki yangu mwengine naye anahitaji msichana wa kuoa hila yeye anahitaji...
Hivi uki prove mke wako katembea nje na mwanaume ambae ni rafiki yako.
Nae akakiri kwamba kweli kafanya na akaomba msamaha na kusema ata acha na kuapa.
Je ni kweli anaweza kuacha kabisa???
Hivi hapo ulipo umeshawahi kujiuliza kwa nini unapenda sana wanawake/wanawake kuwapenda wanaume au wasichana yaani bila kuwawaza wao upati usingizi, unamuwaza mwanaume au msichana fulani mpaka...
Akilewa huwa anaongea mambo mabaya sana juu ya mpenzi wake, akiwa sobber huonyesha kumjali kumpenda na kuwa karibu nae, akinywa ni tofauti kabisaa, binti anakosa raha.
Afanyaje? amini kipi?
Nawasalim wote katika bwana
Wapendwa, yupo msichana mmoja, alimaliza chuo mwaka jana, anakaa mtaa wa nyuma yetu, anatufaham sana mm na mke wangu, lakini zaidi ya yote tunaabudu pamoja, yaani...
Habari zenu wana JF,
Wanaume mnapaswa kujua hili labda litawasaidia katika ishu ya mauhusiano.
Mungu amewapa nafasi ya kuwa kichwa, na kutawala. But unfortunately hamtumii hiyo nafasi vzuri...
Waheshimiwa sana hamjambo?
Kuna huyu msichana hapa kazini kwetu tulibahatika kupata safari nyingi za kikazi za mkoani pamoja, na yeye ni bosi wangu naripoti kwake
Tulivyokua safarini tukajikuta...
unajua sala ambazo huwa wanasali mabinti wa kilokole ambao hawajaolewa
hebu pitia hapa nimezipanga kulingana na umri wao
1.miaka 21-24 hawa bado wako chuo na wanajiona bado wadogo so wengi...
Siku ya jumatano, aliaga alikopanga Tabata. Njiani alisimamishwa na jamaa mmoja aliyekuwa anaendesha gari flani, yule jamaa akaomba namba ya simu kila mtu akaenda zake.
Huyu dada akapanda gari...
Wanawake wengi wa mjini wanaongoza kwa kuwa single maana kila mwanamke utakayemuliza kama ameolewa au yuko single atakwambia yuko single.
Dar kazi kwelikweli.
Sijui kwa nini jamani, yani uwapo kitandani kwenye mambo yetu ukishachanganyikiwa hasa dada zetu kiingereza ni kirahisi sana kwao na wanakichapa kwel kwel, ila wawapo mashuleni na vyuoni kwenye...
Kumekuwa na mifumo inayowalemaza wanawake hali ambayo hamsini kwa hamsini wanayoililia itafia kwenye makaratasi.
Ili walau ishirini na tano ifikiwe, yafuatayo yafanyike;
Pesa ya mahari itolewe...
Ni jambo la kushangaza lakini ndio ukweli huo wanawake waliowengi wanakosea sana katika maisha yao wanakubali kujidhalilisha kuhamia nyumbani kwa mwanaume wakati hata mahari hajatolewa kwa...
Salaam wadau?
Mimi ni mdau wa jukwaa la siasa ila nimefungua id mpya ili nije nifunguke kitu kinachonsumbua nafsi yangu na kukosa raha ya kuishi
mimi bwana mdogo wa 23 yearz,nipo chuo...
Guyz kuna msichana mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtoto pamoja.
Japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amekuwa kila siku akinisihi nmuoe.
Nina wakati mgumu sababu...
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini...
Nikasikia makelele pale kwa jirani, kama vile wanapigana nikaona isiwe shida ngoja nijisogeze sio kwasababu za kiumbea lah ni sababu za kimsaada,hata kama ni umbea ni kidogo sana kikubwa msaada...