Mchumba wangu ni Kikojozi

Mchumba wangu ni Kikojozi

binti kigoli

Member
Joined
Sep 12, 2015
Posts
22
Reaction score
12
Mchumba wangu nikikojoz nimemvumilia kwa Mda mrefu Lakin sasa yamenishinda nasijui nifanyeje.kiukweli nimechoka naomba ushauri.
 
Mnunulie nepi..
Afu asinywe maji usiku.
Na akojoe kabla ya kulala.
 
Teh teh...Kazi itakushinda ww..Huu muda wa kujituma Halafu we uko huku.. kesho mkifukizwa kazi mnakuja kutujazia server huku kwa kuomba ushauri lol

Kazi saa hizi? Lindo tayari bana...labda kupiga round ya alfajiri.

Yaani hapa ndio heka heka nyumbani zimeanza nazunguka kama kishada kuweka mambo sawa.....mpaka nane na nusu hivi ndio naenda kulala
 
Kazi saa hizi? Lindo tayari bana...labda kupiga round ya alfajiri.

Yaani hapa ndio heka heka nyumbani zimeanza nazunguka kama kishada kuweka mambo sawa.....mpaka nane na nusu hivi ndio naenda kulala

Teh teh..Haya bwana..Mi ule ushauri wako niliufanyia kazi..Ndo natoka kupiga maji hapa na wife..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom