Anatafutwa msichana wa kuolewa miaka 25 -29

Anatafutwa msichana wa kuolewa miaka 25 -29

lauzi96

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
422
Reaction score
805
Mimi binafsi nimeshaoa hila nishawawekea tangazo jamaa zangu 2 na mmoja anaoa mwezi 12 kila kitu kimeshakilika sasa kuna rafiki yangu mwengine naye anahitaji msichana wa kuoa hila yeye anahitaji msichana muislam pia awe muajiliwa asiwe na mtoto wala mlevi,na yeye hajaoa wala hana mtoto na anaishi DSM.

Ukini pm nnakuinganisha naye.
 
Mm nipo ila nilishazalishwa na nina watoto 3, mmoja ana mika 3, anafatia ana miaka 2 wa mwisho ana miezi 9, mume wangu kanitelekeza elimu yangu la saba najua kusoma vizuri na kuandika nina miaka 27, ni pm kama umelidhika na mm
 
me binafsi nimeshaoa hila nishawawekea tangazo jamaa zangu 2 na mmoja anaoa mwezi 12 kila kitu kimeshakilika sasa kuna rafiki yangu mwengine naye anahitaji msichana wa kuoa hila yy anahitaji msichana muislam pia awe muajiliwa asiwe na mtoto wala mlevi,na yy hajaoa wala hana mtoto na anaishi dsm.ukini pm nnakuinganisha naye.

Siku zote naona madalali wa nyumba, viwanja leo nakutana na mpya
 
Back
Top Bottom