Nilikua nakaa nae, ila hajanioa, nimeamua kuondoka, ntafute kwangu, niishi kivyangu, japo bado nampenda na kumuheshimu kama mpenzi wangu,ananikasirikia na ananinunia,na hajanioa ila hataki nikakae...
Ndugu zangu wanajamiiF,
Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana...
Mimi binafsi harusi yangu ingefanyika kwenye genge la mangi jirani na nyumbani, daah nakumbuka kidume niliagizwa nikanunue matunda pale nikamuona mtoto mzuri ananunua sijui maviungo ya mboga...
Hi mimi ni kijana wa miaka 24 natafuta msichana (mchumba) ambaye nitaweza kudate nae na pia awe serious sitaki pasua vichwa kbsa maana nishaumizwa vya kutosha. Napendelea msichana mwembamba sio...
Habarini wana jamvi,
Ninachukua nafasi hii ya kipee kuishukuru Jf hasa hasa jukwaa hili la MMU kwakua msaada mkubwa sana kwangu pindi ninapofikwa na magumu maishani kwani hua ninakuja huku...
Kwani lazima kila kizuri uwenacho?kwani lazima tushindane kumiliki vinono?
Kwani lazima uyafuate maisha ninayoishi homo sapiens mwenzako?
Ifike mahali utambue mimi pia na hulka zangu..ukijikuta...
Una smart phone 3, girlfriend wako anazo 2 na ni wewe umemnunulia, mama ako ana simu feki ya Kichina tena imezungushiwa rababendi. Kila siku
unamtoa girlfriend kwenda kula nyama, bia na starehe...
Wanawake hasa wa humu jf wamekuwa wanatutuhumu wanaume kuwa tunachepuka sana na kila mwenzao anapoleta uzi unaomtuhumu mwanamme wamekuwa wakiimuunga mkono bila kujua ukweli wa upande wa pili ina...
1. Kissing your man is not a problem. The problem is how you do it. Stopmaking Sounds like a car crash.
2. Screaming during sex is romantic and it's not a problem. The problem isshouting words...
Wadau heshima kwenu wote kwa mpigo!
Nimetoka kijijini siku chache zilizopita na kuyaona ya kustaajabisha,baada ya kuona mwalimu wa shule ya msingi mstaafu akizini na binti yake wa kumzaa na huku...
Kwa mwenye uelewa halisi wa ndoto hii tafadhari msaada nko njia panda;
Mimi na mpenzi wangu tunaishi mikoa tofauti wiki 2 zilizopita mpenzi wangu aliniomba namba ya rafiki yangu wa kiume...
Naomba kusema, wanaume tuheshimiane tena tuheshimiane, tabia ya kuachana na mwanamke lakini huishi kumfuata fuata kwa maneno jiheshimu tena jiheshimu.
Nimechoka na nimekuchoka ndio maana nimekuja...
Kampuni moja ya kutengeza madawa imelazimika kujitetea vikali baada ya kupandisha gharama ya dawa ya Ukimwi kwa asilimia 5,000.
Hii inamaanisha kuwa bei ya tembe moja ya dawa inayotumika kupunguza...
Habari wanajamii wenzangu,
Leo naomba kufaham juu ya hii tabia ya wanawake kuwachukia waume zao hususan wakiwa wajawazito chanzo chake ni nini? Maana imekuwa ni shida hadi inafikia hatua ya...