Habarini,
Kuna siku niliangalia kipindi cha jioni kinachoitwa jungu kuu, kwenye station ya ITV, kama sikosei bi chau ndo alikuwa kungwi
Topic ilikuwa inahusu tabia ya wanaume kupiga wake zao...
Jamani mshikaji analalamika sana kwamba msichana wake a napenda hela sana, eti hela ya saluni tu anataka shilingi elfu Sita (TSHS 6,000).
Tumsadieje huyu jamaa kwenye haya mahusiano?
Nimatumaini yangu wote ni wazima
jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili...
Kizungumkuti #01
Mtunzi..Junior Stories
Simu ilipigwa kwenda makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Criminal investgator lakini iliita mpaka ikakata bila kupokelewa, mpigaji hakutaka kukata...
Habari zenu wana jamii
Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano...
Habari zenu wana Jf,
A friend of a friend amepatwa na hili nikaona sio mbaya kuja kushare nanyi.
Alikua anaitaji uhamisho wa kikazi ndani ya wilaya kwaio akaandika maombi na akafanya process...
Niko katika hali ya kusikitisha kila siku mimi hulia machozi maana sina hata mtu wa kunisalimia hata kwa mbali nahisi kufa kufa hata sili maana ninaowahitaji nafikiri hawanihitaji hata kidogo...
Wanajamii naomba ushauri kwa hili
M.m nin muajiriwa ila kipato changu hakitoshi na majukumu niliyo nayo
Mke wangu kwao wako safi ila hataki kunisaidia ananiambia sio jukumu langu aisee huwa napata...
Wakuu,
Hata salamu sitoi kwa huzuni nilokua nayo,
Hivi kweli wazazi na watoto wadogo wa kike wamefkia hatua hii,! Iko hivi wakuu leo katka kutafta pahala walau nikapumzike nipunguze stress za...
Kwanini ujione usiyefaa na uliyejaa mabaya tu? Badala ya kutazama yale yaliyo mabaya na yakushindwa katika historia yako, tazama mafanikio.
Kila binadamu ana kitu chema ndani yake. Ukishajua vitu...
inashangaza siku izi ata mzazi anaijiita mkristo anajua fika bintiye au boy anatembea na mtu et uchumba2 na anafurahi bila kukemea! watu wanawaita wazinzi shem!! chakushangaza binti mmoja...
MAKALA KUTOKA KATIKA
Sehemu 1: Uumbaji Mpaka Gharika
Mbingu na dunia zilitoka wapi? Jua, mwezi na nyota, na vitu vingi duniani, vilitokea namna gani? Biblia inatoa jibu la kweli inaposema...
Upendo wangu kwako ni kama Vijana wa bodaboda kwa Lowassa, najua unapendwa na wengi kama Lowassa ila mi ningeomba niwe karibu yako kama mbowe, sitaki kutoa ahadi nyingi kama CCM, ila tu nakuahidi...
Hello am 21 yrs old,niko Arusha ,natafta girlfriend ambaye ntakua nae 4 fun en kupeana nae raha...en km anahitaji 2kapime b4 kua wote ni poa....km uko tayari niPM ....kigezo ni kwamba uwe na miaka...
Habari wana JF,
Kwa wale wataalamu wa hizi mambo,hivi ni mambo gani ambayo inabidi umfanyie mpenzi wako ili uweze kuwa romantic patner kwa jinsia zote.Kuna jamaa mmoja juzi kati alipigwa chini na...
pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with...
Kina dada wengi mnawahi kutoa karanga mapema sana.Unakuta mwanadada mmefahamiana leo kesho anakuonjesha.Zamani hadi mdada anakupa unakua umemaliza soli 3.
Hii inapelekea vijana wengi kusema kama...