Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF? Katika pitapita za huku na kule kupambana na maisha yetu haya, nilijikuta nimekutana na familia moja ambayo daah!! Walinivutia sana lakini walinifanya nijifunze kitu ambacho nanyi...
7 Reactions
70 Replies
9K Views
Juzi kati tukiwa kwenye kijiwe cha kahawa jamaa mmoja alifika akaanzisha mada kuwa watu wengi hupiga punyeto huku akijisema kuwa yeye pia hupiga. Tukawa wote na mshangao, akaendelea kusema ambaye...
3 Reactions
149 Replies
41K Views
Mm ni me.ni miaka 2 imepita tangu niachwe na aliyekuwa mke wangu .sasa nahitaji mke .elimu yangu ni FTC in electrical.mwajiriwa .miaka 42.naishi Dar dini mkristu.ninayemtaka.dini yeyote umri max...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Ni kweli inawezekana mkakutana hapa Jf mkaanza mahusiano na mkiwa na malengo Mungu huwa pamoja nanyi na hatimae kuwa mke na mume. Hivyo wale ambao wapo kwa ajili ya ku buy time poa endeleeni tu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni mwaka wa pili sasa nipo single toka nilipoachana nampenzi wangu akakimbilia kuolewa. Sasa nimekuwa nikitafuta msichana mwenye mapenzi na upendo wa dhati tokea moyoni yaani hawapatikani zaidi...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake Wakati huo mm nilikua form four...
8 Reactions
138 Replies
16K Views
Habari wana MMU, Mimi nina watoto wawili na mwanamke ambaye tuliachana miaka 2 iliyopita. Kwa sasa nina mpenzi ambaye tunatarajia funga ndoa mapema mwakani. Sasa juzi tukiwa mahali tunapata...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Natumaini ni wàzima wa afya ndugu zangu. Hili swali huwa najiuliza sana sijui wenzangu mlio kwenye ndoa na ambao hamjaolewa mmejiuliza pia??? Baada ya kujiuliza utaweza kutafakari kwa usahihi...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Red handed amenikuta nanunua condom duka la dawa Ni yule mrembo ambaye muda mrefu sasa mtaani natamani nimuoe niishi nae kimaisha lakini sijawahi kumuambia japo ishara zote nimeshamuonyesha ila...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za jioni wakurugenzi.. Poleni na majukumu. Jioni hii nipo njiani narudi kwangu kujiandaa na weekend. Nikiwa njiani naendesha gari mdogodogo.. Nikaona nifanye kauchunguzi kidogo nikiwa...
3 Reactions
92 Replies
10K Views
Nawasalimu wakuu! Wakati napata lunch jana waliingia warembo wa 3 wawili aidha walikuwa viziwi au mabubu kutokana na kutumia lugha ya alama muda wote. Mmoja nilimskia akiongea kama kawaida japo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
naanza mimi kutupia meseji"pole sana na mkasa uliokupata ndugu yangu ila unapaswa kufaham kuwa wenye mapenzi ya kweli kwako ni wazazi ulionao,geuza mapenzi yako na yaelekeze zaidi kwa wazazi wako...
0 Reactions
23 Replies
15K Views
Habari MMU, Kuna zile ndoa baadhi zinakumbwa sana na dhoruba Kali sana za ukorofi mwingi na fujo, maneno mengi ya chokochoko kutoka kwa mama mkwe na hata mawifi pia mnahimili vipi haya mambo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi Ladies, Natafuta rafiki wa kike/mpenzi tuwe kwenye mahusiano na baaade ndoa Mungu akibariki. Awe tayari kunipa mapenzi yake yote nami nipo tayari kumuhudumia ipasavyo kama mwanamke wangu,na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau Mimi nina jamaa yangu mmoja tunaheshimiana sana na ziada ya rafiki. Tunatembeleana na ana mke na mkewe namheshimu sana, na huyo mke wa jamaa siku zote kwa muonekano anaonekana ana heshima...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Nahitaji mwanadada tokea dar anayejielewa, mchapakazi na mpenda maendeleo mwenye changamoto za maisha age kuanzia 20 up to 24 and mwenye true love kama uko tayari ni pm au 0755091728. Asante
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Huyu dada mwenye mtoto mmoja na mimba ya miezi 6... Dada huyu kabla hawajafunga ndoa mmewe alikuwa hayupo vizuri kipesa, kutokana na hilo suala la ndoa lilikuwa linapigwa danadana siku hadi siku...
25 Reactions
267 Replies
20K Views
Kuna rafiki yangu anashida, Mume wake hamtamani, anaeza ku do bao moja tu, akakaa tena wiki mbili ndio aje kumpa kingine, na hajali kabisa hisia zake. Jamaa anaonekana si mwingi wa habari, ila...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani nashindwa kumfahamu mpenzi wangu, tulionana na kuzoeana ghafla tukawa wapenzi kiukweli tunapenda sana na sasa tumefikia kuzungumza kuhusu ndoa.Siku 1 akanimbia niende kwao kwa posa mana...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Nasema na wewe kijana/mwanaume ambae hutulii na mpenzi mmoja. Wadada wote uliowahi kutembea nao hujaona wa kudumu nae? Nakuja kwako wewe kidume unaejua kuacha mimba, huzitunzi wala nini na kuoa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…