Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Nasema na wewe kijana/mwanaume ambae hutulii na mpenzi mmoja. Wadada wote uliowahi kutembea nao hujaona wa kudumu nae?
Nakuja kwako wewe kidume unaejua kuacha mimba, huzitunzi wala nini na kuoa huoi, nini shida? Unakimbia majukumu wenzio wakutunzie? Alafu watoto wakikua uje kuwadai? Loo! Jipangeni upya wanaume nyie ni watu wazuri sana, tukisema tunaweza kuishi bila nyie ni UONGO mtupu, mimi binafsi siwezi kuishi bila mpenzi maana ni mrembo najitambua, lakini sija bahatika kukutana na yule mwanaume ambae anajua thamani yangu, athamini urembo na utu wangu. Kiukweli inauma mnooo but ndo hivyo tutafika tuuu!
Msinitukane nimefunguka vile naona ni sawa ktk hisia zangu! Love u all