UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,471
Aminael, Mimi Nilikuwa Ni Mwanaume Pekee Mwenye Mahaba! Ya Dhati Kwako!
Nilijitahidi Sana Kuonyesha Mapenzi Yangu Ya Dhati Kwako Pengine Ungetambua Upendo Wangu Kwako
Mapenzi Yamezima Kama Njiti Ya Kiberiti, Mwanamke Niliekupenda Kwa Moyo Wangu Wote! Umenitenda! Kunisaliti!, Maumivu Niliyoyapata Ni Zaidi Ya Kuunguzwa Na Kaa La Moto Kwenye Kidonda! Moyo Wangu Nilikukabidhi, Maumivu Ya Moyo Ni Maumivu Yasiyo Na Tiba Mamii, Endelea Mama Mimi Broken Hearted UngaUnga, Sitapenda Tena Mama, Maumivu Ya Mapenzi Nayajua Ntakuwa Single 4ever!

Last edited by a moderator: