Kwanini mara nyingi watu kwenye mahusiano wanakuwa wasafi pale wanapokutana kimwili na hunyoa mpaka mwenzio anaona kabisa wembe nusu ukukate.
Jamani hio tabia siyo nzuri utapewa surpraiz na...
By Jon Helmkamp
Fathers, be present. Your daughter needs you more than you could ever imagine. Be there for her. Love her. Care for her. Protect her.
Last week, something happened that made my...
Wadau na wakuu wote hapa Jf amani iwe kwenu, nimekaa pembeni kwa muda mrefu kidogo kutokana na kuwa bize kwenye kipindi hiki cha kampeni lakini nimekuja hapa kwa dharula tu.
Nimekuwa mmoja wa...
Mzee mmoja jirani yangu alinisumbua kwa muda mrefu nimsaidie kumtafuta mwanawe wa kiume aliyeaga mwaka 2000 kwamba anakwenda kutafuta maisha Mererani, Simanjiro.Baada ya kijana huyo kuondoka...
Hivi ushajikutaga una wasichana wawili ambao mmoja ni mkaliii shape kubwa toto refu. Mguu wa bia,namba 8 flani ivi ila ni mkorofi haambiliki akikukosea aombi msamaha ila unabaki naye kwa vile...
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka...
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta...
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk...
Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga tu.Nimeona nibainishe sababu zangu kadhaa ambazo ni...
Mimi kijana wa umri wa miaka 25 natafuta mwanamke wa kuoa umri miaka 20-25 asiwe mnene sana au mwembamba sana ,angalau 4m 4 na kuendelea mimi ni 4m 4 nafanya biashara nipo dodoma ,contact me...
Mimi ni kijana umri 29 binafsi natafuta Rafiki Wa like ambaye tunaweza Fanya maisha pamoja sibagui dini ranging wala kabila binafsi naamini kuwa kazi sio mahusiano Bali mahusiano usaidia kuleta...
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1, Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa
familia na marafiki, kila mmoja
anamtunzia mwenziwe hadhi yake.
2, Usiwe na mtizamo mbaya wala
kuzungumza naye kwa hisia kali
huwezi...
Huu msemo nimeamini sasa!! Japo nilikua nauamini, lakini sasa nimezidi kuuamini. Nimetoka Dar nimekuja mkoani kikazi, nyumba nayoishi pembeni kuna jirani nilietokea kupatana nae, na mimi kuja mtaa...
Nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four.
Alie tayari atume...
Habari zenu wapendwa,
Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.
Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.
We were so much...
Habari wanajf,jaman naombeni ushauri kuhusu hili maana mpaka sasa sijaelewa anamaanisha nini..mmi nina mpenzi wangu ambaye huu sasa ni mwaka wa tatu nipo nae sasa hivi juzi kati wakat tupo...