Anayetoa ni Mola pekee yeye, kwa kila goti na dua anajibu yeye.....Usijeitaka harusi kwa pupa, Usijeitaka harusi ukarudi na talaka. Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Kuwa na subira usiwe na...
Nina wasichana watatu na wote nina wapenda kwa dhati na wao kila mmoja kwa nafasi yake ananipenda kwa dhati hilo halina ubishi, sasa kwasababu hawa warembo nawapenda nimefikiria kuwapiga mimba...
Kuna rafiki yangu wa karibu sana alikuwa na mahusiano na mwanamke flani but yule mwanamke alikuwa ametoka kuachika na mume wake.
Jamaa kaanzisha mahusiano lakini yule mwanamke alikuwa tayari na...
Jamani nakubaliana na swala la uvumilivu kwenye ndoa, lakini nadhani imefika wakati tuzikubali divorce pia kama kitu cha msingi na muhimu ndoa zikiwa hazina mwelekeo, uvumilivu wakati mmoja wenu...
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea...
Kuna binti mmoja wa jirani ana miaka kama 22.
Ukikuta amevaa kwa mtoko unaweza kushawishika kupeleka mahari kwao ila kilaza ajabu.
Juzi juzi nikiwa kwao jioni napiga stori na baba yake...
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari...
Kuna watu wanasema mara nyingi mwanamke mwembamba ana uke wenye kina kirefu sana kwa hiyo wanawake wengi wa sampuli hiyo wamebarikiwa.
Lakini pia inasemekana wanawake wanene wamenyimwa zawadi ya...
Kiimani y Kikristo,tumefundishwa,mwanaume na mwanamke wanapofanya mapenzi,kiimani,huungana na kuwa mwili mmoja,kwa maana nyingine vyote vya kila upande hunganika pamoja kiimani na kutengeneza...
Usaliti, usaliti, usalitii,. Maisha ya kimapenzi Leo yame gubikwa na usaliti.. Watu wana vaa sura za mbwa mwitu, na roho za kishetani ana kuambia "ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" basi...
Hi,
Nimependa nipate maoni kutoka wana MMU,ni kipi bora kati ya kuwa alone au kuoa katika maisha ya ulimwengu huu?
Je hasara na faida kwa pande mbili ni zipi.
Nawasilisha.
Ndugu wapendwa,
Nipo katika mahusiano kwa miezi mitano sasa na mdada mmoja na kutokana na kazi na kuishi sehemu tofauti huwa tunaonana naye kwa mwezi mara 1. Nilitegemea nimtambulishe kwa...
Ukweli kwenye maisha kuna watu wanaumiza nafsi za watu!Kuna mtu anakuuuuuumiza, mwingine anaishia tu kusema sorry, mwingine anakuona ndio kwanza unacomplicate maisha, mwingine anakupotezea tu na...