Jamani nakubaliana na swala la uvumilivu kwenye ndoa, lakini nadhani imefika wakati tuzikubali divorce pia kama kitu cha msingi na muhimu ndoa zikiwa hazina mwelekeo, uvumilivu wakati mmoja wenu...
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea...
Kuna binti mmoja wa jirani ana miaka kama 22.
Ukikuta amevaa kwa mtoko unaweza kushawishika kupeleka mahari kwao ila kilaza ajabu.
Juzi juzi nikiwa kwao jioni napiga stori na baba yake...
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Ninaishi na mke wangu wa ndoa lakini tabia hii ya kumsifia jirani yetu ambaye ni me inanitia mashaka.Mara jirani kanunua hiki,mara jirani kamtoa out mke Dar free market,mara jirani kanunua gari...
Kuna watu wanasema mara nyingi mwanamke mwembamba ana uke wenye kina kirefu sana kwa hiyo wanawake wengi wa sampuli hiyo wamebarikiwa.
Lakini pia inasemekana wanawake wanene wamenyimwa zawadi ya...
Kiimani y Kikristo,tumefundishwa,mwanaume na mwanamke wanapofanya mapenzi,kiimani,huungana na kuwa mwili mmoja,kwa maana nyingine vyote vya kila upande hunganika pamoja kiimani na kutengeneza...
Usaliti, usaliti, usalitii,. Maisha ya kimapenzi Leo yame gubikwa na usaliti.. Watu wana vaa sura za mbwa mwitu, na roho za kishetani ana kuambia "ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" basi...
Hi,
Nimependa nipate maoni kutoka wana MMU,ni kipi bora kati ya kuwa alone au kuoa katika maisha ya ulimwengu huu?
Je hasara na faida kwa pande mbili ni zipi.
Nawasilisha.
Ndugu wapendwa,
Nipo katika mahusiano kwa miezi mitano sasa na mdada mmoja na kutokana na kazi na kuishi sehemu tofauti huwa tunaonana naye kwa mwezi mara 1. Nilitegemea nimtambulishe kwa...
Ukweli kwenye maisha kuna watu wanaumiza nafsi za watu!Kuna mtu anakuuuuuumiza, mwingine anaishia tu kusema sorry, mwingine anakuona ndio kwanza unacomplicate maisha, mwingine anakupotezea tu na...
Awali ya yote nawasalimu kwa dini ya kila moja wenu.
Pili poleni sana kwa joto la uchaguzi ambalo lililifanya jukwaa letu la MMU kuonekana halina maana na kusahaulika hasa kipindi cha kampeni...
Ndio maana ukienda bucha unamwambia muuzaji nikatie kiuno kwanini usimwache akate nyama anavyotaka yeye akisema kiuno hakuna ni uamuzi wako kutafuta bucha nyingine au kupewa nyama ya paja, kidali...
Habari wakuu, tafadhalini naomba mnisaidie kunielekeza nyumba zinazotumiwa kama madanguro au nyumba wanazokaa madada poa kwa ajili ya biashara za ngono.
Nina andika research inayohusiana na...
Naombeni msaada wana JF,
Nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mi 5,nilikuwa nampa kila kitu anachotaka,siku moja nilimkuta na mwanaume mwingine nililia sana yaani almanusra nijiue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.