Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Jamani hivi ni umri gani sahihi wa mwanaume au mwanamke kuoa au kuolewa ukiangalia masuala ya elimu, dini, uchumi?
Ukiwa matured enough pia kusolve problems
Kwenye Biblia niliona inasema ni baada ya miaka 25 kwa mwanamke na mwanamume, chini ya hapo ni ubatili mtupu