Hivi nitakua nakosea? Maana nawapenda wote

Hivi nitakua nakosea? Maana nawapenda wote

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,633
Nina wasichana watatu na wote nina wapenda kwa dhati na wao kila mmoja kwa nafasi yake ananipenda kwa dhati hilo halina ubishi, sasa kwasababu hawa warembo nawapenda nimefikiria kuwapiga mimba wote then wanizalie watoto halafu siwaoi maana nashindwa kuchagua wa kuwa nae.
 
Ni sawa kabisa.......upo sahihi sana kamanda wangu......piga wote mtungo......then unatulia.......usiache wamwagikie chini bure bana........
 
kama unawapenda na wao wanakupenda,hakuna matata mkuu.

sisi zetu dua!,ila umejianda kulea?
 
tena utakuwa unakosea sana, maana kumbuka mdada ukimzalisha afu usimuoe unakuwa ushampa doa kubwa sana ambapo kuolewa kwake itakuwa ni kwa maajaliwa ya mwenyezi tu, chagua utakayefunga nae ndoa hao wengine wajulishe tu, japo watalia watakulaumu ila umewaacha wakiwa hawana mimba/mtoto ambapo ni rahisi kupata wachumba.... ni mateso makubwa utawasababishia ukiwapa mimba, kwa kuwa wao wanakuoenda basi we usilipize wema wao kwa mabaya maana uliwazalo wewe ni kuwaharibia maisha... PLEASE DON'T DO IT mkuu
 
sasa imetokea nawapenda wote..sijaona mwenye kasoro kwangu..unadhani nifanyaje mfano?
 
kama unawapenda na wao wanakupenda,hakuna matata mkuu.

sisi zetu dua!,ila umejianda kulea?

kulea co shida mkuu..c unaona kama hivi magufuli kafuta ada mpaka form four hivo watasoma mpaka wafie darasan
 
Mzee wa UDSM unaependwa na watoto....kwavile unasoma chuo cha taifa....!
 
Kumbuka chochote unachofanya kina malipo. Fikiria malipo yake then ufanye maamuzi.
 
Hakuna namna nyingine we tia mimba tu............. tena kwa wakati mmoja ili upate twins wa mama tofauti
 
Rahisi sana kusema wakati mnatembeza hivyo vibakora vyenu ila ikifika wakati wa kulea kinalegea km barafu kwenye maji moto. Ukiambiea ulee utawrza? Uanamme ni majukumu kwenye familia sio kutembeza bakora km beberu la kipalestina. Nyambaf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom