Seniors tafadhali usitafune wafuasi ni balaa

indelible

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
652
Reaction score
301
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea kigumu.

Miezi kadhaa iliyopita tuliajiri administration officer wakike, ingawa baada ya interview alijaribu sana kuniwekea mazingira ya kile ambacho wataalam wa maadili hukiita QuidPro quo lakini niliukwepa huo mtego.

Sasa jana ndio kisanga kizima kimetokea huyu dada kumbe anatatizo la akili, hali ikabadilika kaanza kufurumua maneno kwamba kabla yakupata hiyo kazi mmoja wa senior mwenzetu alimtafuna mchana kweupe na sio utafunaji wakihalali tu yaani jamaa alimpakua na kisamvu.

Hakuishia hapo akaendelea nakwangu kwamba alijibaraguza lakini nikamkimbia.

Kifupi ninaushukuru msimamo wangu, siitaji ushauri hili liwekama funzo tu kwa senior wakware.
 
Khaaaaaaaaa

Hivi unaanzaje kuliwa iwe mbele au nyuma ili uajiriwe?????
 
Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
 
Ha ha ha ha daah...nimeishia kucheka aisee...hongera kwa kukwepa mtego.
 
Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
Kuna maswala yakifanyika hutoa negative perception kwa jamii ...kama sasa, binafsi sifurahii tukio lote kwa ujumla wake, lakini pia sinahakika na ndio maana imebidi kuanzisha uchunguzi wa haraka, mbali na huyu staffkuendelea na matibabu.

Concept yangu badoiko pale pale kwa seniors kuacha ukware.
 
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea kigumu.

Miezi kadhaa iliyopita tuliajiri administration officer wakike, ingawa baada ya interview alijaribu sana kuniwekea mazingira ya kile ambacho wataalam wa maadili hukiita QuidPro quo lakini niliukwepa huo mtego.

Sasa jana ndio kisanga kizima kimetokea huyu dada kumbe anatatizo la akili, hali ikabadilika kaanza kufurumua maneno kwamba kabla yakupata hiyo kazi mmoja wa senior mwenzetu alimtafuna mchana kweupe na sio utafunaji wakihalali tu yaani jamaa alimpakua na kisamvu.

Hakuishia hapo akaendelea nakwangu kwamba alijibaraguza lakini nikamkimbia.

Kifupi ninaushukuru msimamo wangu, siitaji ushauri hili liwekama funzo tu kwa senior wakware.

Ngoja Tusiokuelewa Na Tunaojitambua Tukuache Kwani Nimerudia Kuusoma Huu UZI Naona Maluweluwe Tupu. Samahani Lakini Ila Ukweli Ndiyo Huo.
 
Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
Tena Tobaat L nasuhaa !!
 
Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .

Tusijitoe ufahamu, kuna ofisi nchi hii hawafanyi hivyo? Maana Tatizo hili limegeuka na kuwa kama "culture". Iwe private au government.
 
Kuna wakati mtoa mada anatakiwa kunyamaza ili watu wadadavue. Kiukweli umetoa onyo la kiutuuzima ila punguza kujibu kila andiko
Nashukuru kwa ushauri nauzingatia... Sikatai mtu kukosoa ila wakati mwingine nashindwa kuunyamazia ukosoaji unaolenga kuharibu maana.
 
Back
Top Bottom