Ushauri: Ana mahusiano na mwanamke ambaye hajaachika kwa talaka

Nov 20, 2015
29
23
Kuna rafiki yangu wa karibu sana alikuwa na mahusiano na mwanamke flani but yule mwanamke alikuwa ametoka kuachika na mume wake.

Jamaa kaanzisha mahusiano lakini yule mwanamke alikuwa tayari na mtoto mdogo kama anamiaka 5.

Lakini baada ya siku kwenda yule mwanamke akaja kwa jamaa na kumwambia sitoki tena humu ndanisababu ninataka unioe.

Jamaa alijaribu kumwelewesha bila mafanikio yeyote yani kaja yeye na mwanae huyo mdogo na huyo jamaa anasema atamuoaje wakati huyo mwanamke aliachika bila talaka.

So anaogopa kumuoa mke wa mtu asije kushitakiwa jamani.

Naombeni tumshauri mwenzetu bila matusi.
 
Mwambie akadai kwanza talaka akishapata ndo anaweza olewa bila hivo ni kazi bure.Ila jamaa kapata komesha yeye alidhani atajipigia tu free ndo aoe sasa
 
Kuna rafiki yang wa karibu sana alikuwa na mahusiano na mwanamke flani but yule mwanamke alikuwa ametoka kuachika na mume wake.

Jamaa kaanzisha mahusiano lakini yule mwanamke alikuwa tayari na mtoto mdogo kama anamiaka 5 so baada ya siku kwenda yule mwanamke akaja kwa jamaa na kumwambia sitoki tena humu ndan coz ninataka unioe.

Jamaa alijaribu kumwelewesha bila mafanikio yeyote yani kaja yeye na mwanae huyo mdogo na huyo jamaa anasema atamuoaje wakat huyo mwanamke aliachika bila talaka.

So anaogopa kumuoa mke wa mtu asije shitakiwa jamani, naombeni tumshauri mwenzetu bila matusi.

Sasa huyo afriend indeed of urs, alivyokuwa anamgegeda mwenzake hakujuwa kama ni mke wa mtu? Tatizo halipo kwa mwanamke sisi wanaume sometime tunakosea sana, unakuta umempata a girlfriend unampa mahaba haswa mautamu classic eh mahaba niue eh unamkoleza weeee mtoto wa watu mpaka anadata ilihali unajua ni mke wa mtu, sasa likitokea lakutokea mtoto wa watu akaona its about time to declare this man as ma husband hapo sasa wanaume tunaanza kuchenga kitu ambacho sio fair hata mungu hapendi maana wakati unamkunja na kuumpa mautamu kwanini hukujianda kwa hilo, tabia hizi ni za kishenzi, its time to be real as aman
 
Wanawake wa mithili ya hivi wanatakiwa hasa in this century, maisha ni magumu there is no an optional strategy ni kufosiii tu
 
Nauliza tu; Ndoa ni nini? Au huyo mama anataka Harusi ifanyike hadharani? Mwenyewe umesema kaachika. Kivipi? Kaenda kwao hakurudi tena au? Je, yule msela kule anajikunyata mwenyewe? Amekuja kumuomba arudi home? Maswali kichwani kwangu ni mengi.
Nashauri; Jamaa ajipime. Je, atammudu mwenye mzazi mwenza? Maana kaja na eksibiti. Mtoto 5 yrs. Je, ameachana naye miaka au ni siku hiyo alipokuja kwake? Haya ni mambo ya kujiuliza. Kama ni long time, aweke chumbani na akienda kazini, amwachie ufunguo. Kama ni wiki moja ilopita, awe akimwombea kwa jirani kwani aweza move saa yeyote na kurudi kwak mumewe huyo. Asimtishe kwa vijineno ati sirudi kulee. Utarudi tuu hata kwa kufungwa kudu
 
Kwani huyo manzi haendagi kwa market?,akitoka apige kufuli then asafiri,hadi mwanamke apewe talaka ndo aje.
 
Back
Top Bottom