Hakuna salamu hapa!
Moja kwa moja through the point!
Dada zangu mnaachwa kwa kwa ajili ya uzembe wenu na wa kujitakia!
Mme akirudi ndani, vaa kanga tepetepe iliyolowana maji! Kanga moja, au...
Naandika hili kwa huzuni na si kwa nia ya kuamsha hamasa ya kimapenzi. Ninaomba nisimulie visa vya mabinti wawili hawa;
Binti wa leo nimezoeana naye kwa muda mrefu saana. Nilikuwa ninasoma makala...
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
Mimi ni msichana wa miaka 28. Nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana mwenye umri sawa na wangu. Tulidumu kwa muda wa miezi nane.
Mwanzoni mwa mahusiano yetu, tulipendana sana. Baadae...
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati...
1. TAMAA zenu
Mnaweza kumtamani mwanamme yeyote kimapenzi isipokuwa mama zetu tuu hawawezi fanya hivyoo
2. KUHUSU Hulka zenu
Huwa mnaonyesha upendo wazi wazi kwa mwanammeisipokuwa kwa wale ambao...
Ndugu zangu,
Huko nyuma niliwahi kupata dhahama ya kuanguka dhambini na mtumishi wetu wa ndani, na bila kutarajia akapata mimba, kwa kuwa nilikua under Satan's influence nikaikana ile mimba...
TANZIA:
Habari zenu wapendwa wenzangu wa hapa jamvini,
Nimepokea taarifa ya majonzi na ya kuhuzunisha ya kuondokewa na kipenzi chetu mama yake lady doctor ambaye alifariki Jumamosi ya...
Habari zenu wana JF,
As usual, hivi mwanaume kinachokufanya uwe na mtumbo huooo kama hauendi chooni maana yake nini? angalau wanawake wana cha kusingizia(uzazi) japo sio sana.
Yaani siku hizi...
Wakuu heshima kwenu,
Muda sasa umefika wa kuchagua mmoja kati ya, ili nianze rasmi kujiandaa na ndoa ninawapenzi watatu, wote wanasifa tofauti hapa, na wote nawapenda, lakini nafasi ni moja...
Wataalam wa mahusiano wanashauri ili mahusiano yadumu vizuri na kwa muda mrefu inabidi mume amuonye mkewe kila siku, amkalipie kila wiki, ampige kofi angalau mara moja kila mwezi, ampige kibano...
Naomba niulize nyie wapenzi mmalizapo mapenzi je ni nani huwa najukumu lakujua mwenzangu kamalizaje je kashiba? Kanawa maana naona mmoja ndo hubaki kuangaika mara chupa ya chai yenye maji ya...
Habarin za jioni wana MMU.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,nina kazi ambayo inaniingizia kipato changu kinachonikimu ktk maisha nipo kwenye mahusiano na binti mmoja kwa takribani mwaka...
(By Leandie Buys) Social media is causing an infidelity epidemic, and it?s ruining relationships.
Lately I?ve seen more and more couples who have experienced infidelity in their relationships...
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nafanya Kazi katika company moja ya kifedha, nahitaji mchumba wa kuowa v igezo awe mweusi, Mnene wa Kati na siyo mrefu sana dini na elimu haijalishi ili...
Tunafanya nae kazi, na ninamzimia kinyama sema huwa naona I'm out of her league. Wikendi iliyopita nilimpigia simu kuanza kujenga ukaribu, hakupokea! But kesho salio linaingia so nimemtumia ujumbe...