Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Kuna mambo ni ya kushangaza na kustaajabisha, mtu una mahusiano nae takribani 2yrs, anakuhudumia kwa kila kitu(mbususu huwa naizagamua kwa sana),lakini kutokana na kumchunguza,nimetoka na...
7 Reactions
25 Replies
956 Views
Wakuu, Kuna siku nilikuwa natembea pembezoni barabara naelekea kazini kwangu,ghafula nilimuona dada mmoja mrefu mnene na ni mzuri kumtazama,alivalia sketi moja flani hivi ambayo ilichora maungo...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Hodi jukwaa la malavidavi. Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake, Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly. kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je? usingeomba hela? ungetulia na...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane? Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano...
7 Reactions
137 Replies
8K Views
Wakuu, Siku ya pili baada ya ndoa mwaka jana,nilisitaajabu uwezo wa kuhimili tendo kwa muda mrefu zaidi,kama utani vile masaa manne ya bila kupumuzika! Ni kweli si utani mpaka nikahisi basi nina...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare Ili...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau salaam, Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari ya majukumu ndugu zangu, Leo nimeamua kuongelea hili jambo ambalo limenitokea mimi kama kijana mwenzenu, mtoto wenu, mdogo wenu. Nlikuwa na mahusiano na Binti mmoja mrembo kiasi na mwenye...
23 Reactions
152 Replies
8K Views
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni...
19 Reactions
187 Replies
5K Views
Katika safari ya kutafuta mwenza wa maisha, jambo moja ambalo halipaswi kupuuzwa ni malezi aliyoyapata mwanamke. Ingawa kila mtu anaweza kujifunza na kubadilika, msingi wa tabia, maadili, na...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndugu zangu. Nawashukuru Sana kwa ushauri na michango yenu mliyonipa kukabiliana na mtoto wa mpenzi wangu ambaye hapendi mahusiano yangu na mama yake. Nimechambua ushauri wenu na nimefikia...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Bila kujijua ulirekodiwa kisiri hasa mkiwa lodge ukiwa na mchepuko au malaya Unatumiwa video nzima unaambiwa utoe kiasi ambacho ni sawa na nusu ya kipato chako lasivyo video itavujishwa hadharani...
4 Reactions
78 Replies
3K Views
Wakuu, Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi...
3 Reactions
7 Replies
607 Views
Kila kukicha vituko havikwishi! Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa...
5 Reactions
10 Replies
868 Views
Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau wa jf Hakika waswahili husema ukistajabu ya musa utayaona ya firauni Sielewi baadhi ya wanaume wa siku hizi wamepatwa na nini Miezi minne ilopita nilifahamiana na kaka mmoja jirani...
35 Reactions
337 Replies
28K Views
habari wandugu,nina mwaka wa tatu sasa nipo single lakini nahisi si dhambi kuwa hivi nilivyo,wakati umefika sasa wakumpata mke mwema.najua wapo wadada wazuri tu mbele ya mungu na wanadamu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom