Kila siku na kila mahala ukipita au ukibahatika tu kukutana na akina Dada na akina Mama waliopo katika Ndoa au hata Mahusiano tu ' lawama ' zao kubwa ni kwa hawa Dada zetu wa Kazi nyumbani maarufu...
Namaanisha mmezaliwa mama mmoja mfano mpo watano kila mtoto kalelewa sehemu tofauti kwa bibi au shangazi/mjomba/mamdogo
Hivi kutakuwa na upendo baina yenu? nyie watoto maana hamjakua pamoja...
Za leo,
1. Ebu tujuzane nini taswira inayo patikana mwanaume unapolia mbele ya mkeo, mpenzi au mchumba wanawake huwa mnachukiliaje?
2. Kwa wanaume hii huwa inasababishwa na nini? (Achialia mbali...
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa?
Naomba kuuliza,
Hivi inakuaje mtu kaamka tu kutoka kitandani huku kavuta domo bila hata kuudhiwa, nimemsalimia kaitikia kama hataki vile.
Nimemuulza kama anaumwa...
Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa,
Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada...
Wakuu nimemaliza chuo mwaka Jana mwezi wa 8 dhamira yangu nikimaliza chuo nioe fasta Maana kukaa kitaa bachelor sikupenda.
Nilidet na muhaya Toka mwaka Jana Leo hii wiki ya 4 Toka nimemsafirisha...
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama...
Nmeingia dodoma leo nmemtafuta jamaa yangu wa JF huku Dom ananipa michongo kadhaa ya kupata tour guide dodoma. Nmeambiwa kwa sasa dodoma wanawake wengi wamekimbilia huku kukaa na waume za watu...
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba...
Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu.
Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali)
Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini.
Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi).
Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi...
Wakuu,
Sina mengi ila nataka kujua toka kwa wajuvi wa mambo ya ndoa kuwa,kuna changamoto gani na faida gani ukioa wanawake wawili.
Ushauri wenu ni muhimu sana kabla ya kuongeza mke wa pili...
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari.
Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari...
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia...
Habari wanajukwaa,
Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo.
Kila siku tunaskia mara dadapoa...
My wife is a CEO, she always hates me for being lazy and wants to divorce me. But she doesn't know that her success is bestowed by me.
“Dustin, here is the divorce agreement prepared by Ms...
Shalom,
Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.
Unapoingia...
Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke.
Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal...