tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,879
- 15,459
Bwana Yesu asifiwe wapendwa?
Naomba kuuliza,
Hivi inakuaje mtu kaamka tu kutoka kitandani huku kavuta domo bila hata kuudhiwa, nimemsalimia kaitikia kama hataki vile.
Nimemuulza kama anaumwa nimpeleke hospital kasema haumwi, nimeenda job nIkaona ngoja nimpigie labda kuna mahali nimekosea,ila cha ajabu kapokea simu afu haongei.
Hivi wanawake huwa wana mapepo ya kununa bila sababu wakuu?