Wanajamiiforums, Wabunge, Mawaziri na wafanyakazi tunakula Mizigo ya dodoma...

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Nmeingia dodoma leo nmemtafuta jamaa yangu wa JF huku Dom ananipa michongo kadhaa ya kupata tour guide dodoma. Nmeambiwa kwa sasa dodoma wanawake wengi wamekimbilia huku kukaa na waume za watu waliotoka dar.

Jamaa ananipostia tu picha za watu ambao yeye anadai tayari... Nikasema he walaaa yashinda utumwa nami nijumuike kiroho safi kabisa maana usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe...

"PICHA NILIYOPEWA NMEAMBIWA NI YA MHUSIKA YUPO HUMU NDANI. BINAFSI SIKUJUA COZ ALIYENIPA KANAMBIA NITAPATA MTU WA KUNIPA COMPANY DODOMA NA KUNITUMIA PICHA KIBAO "

Wagogo na wageni wengine sisi wageni wenu tunashukuru kwa wema wenu.
 
Hiyo ndio Hali halisi mkuu! Mshindwe wenyewe

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Migegedo dodoma ni shida tuuupu angalien karandinga lisije wapitia km ni mzee wa maeneo ya malaya mkuu

Sent using IPhone X
 
Nmeingia dodoma leo nmemtafuta jamaa yangu wa JF huku Dom ananipa michongo kadhaa ya kupata tour guide dodoma. Nmeambiwa kwa sasa dodoma wanawake wengi wamekimbilia huku kukaa na waume za watu waliotoka dar.

Jamaa ananipostia tu picha za watu ambao yeye anadai tayari... Nikasema he walaaa yashinda utumwa nami nijumuike kiroho safi kabisa maana usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe...

View attachment 1051874

Wagogo na wageni wengine sisi wageni wenu tunashukuru kwa wema wenu.
Post na yako ili tuwajue wote
 
me niko dodoma muda huu,lakini nimeogopa kuwatafuta hao swala kwa sababu naskia karibia wote wanatumia vidonge.
 
Mkuu, kwanza naomba niseme kwamba hauja mtendea haki huyo binti ulie weka picha yake hapo. Na hata kama mmekua na tofauti zenu, ni vyema mkamalizana huko nje kuliko kuja kuchafuana kwa kuweka picha ya member wa jf pasipo ridhaa yake.
Nimalizie kwa kusema kwamba huo sio uanaume, wanaume hatupo na mambo za kitoto kama hivi ulivyo fanya. Na watu kama wewe ndio wanao sababisha sana jf kuonekana haifai na sio salama tena.
Haujafanya jambo jema kabisa aiseeeeee....
 
Na nyie huwa mnapenda sana kujikomba...uana ume hautangazwi...mimi nmeuliza hiyo avatar ya nani sasa kumbe ninyi mnasema ni ya demiss... So mna picha zake? Picha za kwenye avatar mnaweza zenu kabisa kabisa? Wapumbavuh sana...

Mmefanya mpaka watu wengine sasa waelewe kuwa kumbeeeee... Mnapenda sana umbea ninyi watu wa humu mkijidai ni wanaume.. kama ni picha ya demiss basi ndo mme mu expose. Na unajua wamepeana wapi? Acheni ushoga na kujikomba.

Mbona ghafla umeniporomoshea matusi...!!??
Na wapi umeona nimetaja jina ama I'd ya ulie muweka...!!??
Nilicho kifanya ni kukemea kitendo chako cha kuweka picha ya member wa jf pasipo ridhaa yake.
Na ninasisitiza kwamba huo sio uanaume
 
Back
Top Bottom