Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,031
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
 
We do everything in this crazy world so as to persue Happiness.. kama unataka furaha na furaha yako ni kitu fulani basi nenda kaichukue ilimradi tu uwe unaweza kuipata.
Wacha watu wainjoi dunia sio kufungwa fungwa na viapo fulani ambavyo mwenza wako huvivunja na huna cha kumfanya
 
Uchunguzi wako umefanya maofisi mangapi dogo?

Nani kakwambia 45 Ni mzee?

Usichanganye Mambo dogo, Hilo kulumbembe lililokutaka ofisini kwenu Ni limalaya tu, usi generelise wanawake wote maofisi. We Kama umekubaliana nalo mnachat Hadi saa saba usiku tulia tu acha kuweweseka.

Unaona sifa mwanaume kupitiwa kituoni na mdada kupewa lift? Angalia utapewa na ukimwi dogo.
 
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
Sisi hatulali nao maana wana Ukimwi! Hongera wanawapata nyie na wanawambukiza Ukimwi
 
Back
Top Bottom