Wiki ya 4 Sasa Toka mke wangu mpya kutoka bukoba nipo nae (mtwara) masasi dah kuoa kumbe ndo raha hivi

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,251
2,000
Wakuu nimemaliza chuo mwaka Jana mwezi wa 8 dhamira yangu nikimaliza chuo nioe fasta Maana kukaa kitaa bachelor sikupenda.

Nilidet na muhaya Toka mwaka Jana Leo hii wiki ya 4 Toka nimemsafirisha nipo nae kusini huku.. Najisikia raha Sana nawashauri vijana wenzangu msiogope kuoa ndo hatua yenyewe ya kuanza safari yako ya mafanikio endapo utapata mtu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,508
2,000
Huyu ni mtoto wa age 21 tu katulivu sana Ana hofu ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa miaka 21 ndio unajisifia hivyo braza, we kolo kweli yani. Subiria sindimba uicheze hapo mbele yao! Huyo hakuwa amefunguka akili vizuri, watakuja wakupigie hio ngozi hadi utadata. 23-26 ulete mrejesho humu maisha yatavyokuwa hapo ndani mjengoni!

Ulishamzalisha???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom