Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mjimushileee....!! Ilikuwa maisha ya chuo yaani maswala ya kuishi geto la kupanga uswahilini. Nyumba niliyokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kubwa ambayo akiishi baba mwenye nyumba na familia yake...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya...
5 Reactions
80 Replies
3K Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Naombeni ushauri, nina mpenzi wangu leo mwaka wa pili hatujawahi kushirikiana kimapenzi anasema hadi tumalize...
0 Reactions
117 Replies
12K Views
In Hashim Dogo voice ili jambo liko wazi kama vazi la kahaba. hivi vitu vipo toka enzi na enzi ukiwa boyaboya lazima ustay back kuna vitu utakuwa unaishia kuviwaza tu. hili wazo limekuja baada ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Dada zetu kama mtu haumpendi basi usimuumize kwa makusudi. Leo jamaa yangu kamuomba picha dem wake ambaye yupo mkoa kamtumia picha hii. Ikumbukwe mwamba alikua anakula papuchi Kwa zaidi ya miaka...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Nakusalimu kwa nguvu ya mwangaza kutoka usawa wa bahari kuu, ya miujiza, na manuizo ya miliki yetu kuu ya kifalme, ewe msomaji wangu. Pamekuwepo manung'uniko mengi miongoni mwa nafsi za wanadamu...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Huwa nikiangalia picha za hawa Dada/ mama zetu huwa najiaminisha kuwa akili zao zinafanana. Maana umeshakuwa mtindo kuweka hayo maua, paka, ni vitu vingine vya ajabu. Na bahati mbaya sana wote...
1 Reactions
242 Replies
15K Views
Leo nina hasira na wanaume kutwa kutusema sijui tunatoa harufu mara hatujisafishi vizuri nani kasema hivyo. Baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali mtu anakula mihogo karanga anachanganya na...
67 Reactions
864 Replies
120K Views
Wanaolewa viaziii!!! Namshukuru mungu sina ulemavu,sina maradhi ngoja nipambane tu Mungu ameninyima mume hawezi ninyima utajiri .
76 Reactions
412 Replies
38K Views
Unakuta uko na mpenzi wako ambae mko kwenye mahusiano muda tu zaidi hata ya mwaka lakini kila mnapoingia kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia chumbani mwanamke hataki kubadilika. Kila siku...
14 Reactions
192 Replies
29K Views
Kwanza kabla ya yote wana MMU tusikitike kidogo jamani!![emoji55] Kumekuwa na katabia hapa jijini kwa Makonda japo sio kapya ili kwa sasa kameshamiri kwelikweli yani wauza nguo za kike kuanzia za...
8 Reactions
108 Replies
14K Views
Mimi ni kijana (29) ni mwanaume Napenda sana kazi ya kumfanyia mwanamke massage kama kazi. Kwa sasa nahitaji mazoezi ya mara Kwa mara hivyo ningepata hata mtu mmoja tu wa kike niwe namfanyia bure...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Ilikuwa alfajiri yenye simu ya mshtuko sana, kwamba P amka..'Diana hatunae tena' nilishindwa kuelewa, sikuweza kuamini. Kiukweli ni alfajiri ya huzuni kubwa sana. Diana alikuwa ameanza safari...
28 Reactions
341 Replies
51K Views
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu. Ninatamani aje...
28 Reactions
216 Replies
21K Views
Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi. Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu...
5 Reactions
3 Replies
734 Views
Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua...
18 Reactions
224 Replies
6K Views
Habarini wakuu Back to the topic,Leo nimeamka zangu asubuh na mvua mvua za dar hizi plus uchovu wa Jana kwenye kuchek fainali ya Portugal..mzee nikajiandaa chap mida flan ivi ya saa mbili asubuhi...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Uhitaji ni kama njaa huwa shauku inakuwa juu ya matokeo na kupoteza utulivu wa kuchunguza madhara na hilo wanalijua vizuri watu ambao wanataka kukupoteza. Mtu akitaka kukupoteza atasubiri pale...
3 Reactions
7 Replies
512 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…