Hivi kwanini wanawake wenye akili na heshima hatuolewi?

Hiyo pia ni kawaida. Sasa wanataka lakin hawataki. Kama anataka mume basi aache kuwa selective.. amsikilize kila anaekuja ndipo achague. Sio hata salam tu mtu anakuwa mkali kama pilipili za zanzibar
Unashangaa miss natafta analalamika hapa jf kuwa hana bwana, cha ajabu ukimfata pm huenda akakupotezea, au akikujibu SAA ya kukutana ikifika ataleta maringo mengi, na atakuomba pesa Detective J
 
Back
Top Bottom