Tulikuwa tunapiga story jana na marafiki zangu wao ni watu wazima kuliko mimi kiasi. Walikuwa wanadiscuss watu waliokuwa vichwa enzi hizo.
Wa kwanza alikuwa kichwa sec hadi chuo huko nje alikuwa...
Imekua ni jambo la kawaida ukianza uhusiano na mwanamke siku hizi utasikia....
"Nyie wanaume ni waongo sana"
"Nimesha umizwa sana hata sitaki tena kupenda"
"Nyie wanaume ni waongo sana...
Helo hapa jukwaani, hope mpo poa
Niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche
Sana na namfahamu coz nilikuwa...
Usikurupuke kuishi na demu ambaye hana sifa ya kuwa mwanamke hakika utajigharimu sana.
Demu kumfanya mwanamke ni kazi sana ila mwanamke kumfanya mke ni rahisi sana
nimemaliza unaweza ongeza...
Habari wakuu,
Kuna jamaa hapa mtaani alikua akifanya kazi ya u driver kwa jamaa ambae anamiliki malori ya kukusanya nafaka sehemu mbali mbali mikoani. Huyu tajiri ni mtu anaeheshimika sana...
Safari ya Rwanda…
Najua wengi mnatarajia kusoma hadithi nzuri na tamu juu ya wadada warembo wa Kinyarwanda…wabantu haswa Madame B weka chini...wenye maumbo ya nyigu…sura...
Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.
Naomba mnisamehe maana nawajuwa vizuri.Mkipaniki mnavyokuwa mbogo so sitarajii mikikikiki kutoka...
Hili jambo kanisimulia jamaa yangu ni fundi wangu pale gari langu 5th hand linapopata Matatizo na of course kila mara maana si second hand tena ni fifth hand.
Jamaa ni mwenyeji wa kisarawe...
Juzi kuna mdada kanionjesha utamu.
Cha ajabu wakati nakaribia kupiga bao, kanambia yeye atasema no reforms nami niwe najibu no election.
Bao tamu sana
Jaribuni hii kitu ma gen-z
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?
Hapa nimeandaa baadhi...
Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana.
Maana vijana wanaloweka...
Sisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!".
kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi...
kudate na demu mswahili ni sawa na kuchaji simu ya Samsung kwa kutumia chaja ya Tecno yaani ata ijae full life sparm yake huwa ni ndogo sana, mara vuup chaji imeisha,
Jana nilipata demu mmoja...
Habari ya Jumatatu waungwana..
Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza...
Wakuu habari za mda..
Kutokana na mseto wa uzi huu nimeshindwa niuweke jukwaa la AFYA au MMU ila naamini wataalamu Wa pande zote mbili watauona na kunipa ushauri/ msaada Wa mawazo.
Twende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.