Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu... Kama ukiona mwandani wako anakukosea na anakuomba msamaha lakini anarudia kosa hilo tena na tena washa taa nyekundu maana mtu wa aina hii huwa kuna kauli huwa zinazunguka kichwani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
This is for you my love..... Tonight I celebrate my love for you It seems the natural thing to do Tonight no one's gonna find us We'll leave the world behind us When I make love to you Tonight I...
5 Reactions
107 Replies
8K Views
natafuta mchumba Muislam awe mzuri,umri usizidi 23yrs,elimu kuanzia form 6 na kuendelea,mimi ni mtumishi serikalini,Awe anasoma au anafanyakazi au biashara,kwa aliye serious aje PM au email...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani kila akiolewa au ukiwa mchepuko wa mtu huyo mume anakufa kiajabuajabu kimazingara. Na dawa yake nini.na kuna jina maalumu kwa hao?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana jf,kuna siku nilikuwa sehemu fulani napata chakula la jioni bahati nzuri hapo hapo nikakutana na binti mmoja mrembo, sio siri nilivutiwa nae ili nimuombe faragha tuzungumze ili...
5 Reactions
130 Replies
8K Views
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela Aisee Mungu anawaona wanawake...
10 Reactions
85 Replies
9K Views
Naombeni mchango wenu, Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uwe na pesa, bahati au uwe handsome maana mimi ni handsome lakini pesa sina na nikibahatika kuwa na msichana mzuri basi anakuwa na...
5 Reactions
220 Replies
31K Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Vijana wanapo maliza elimu ya sekondari wenye bahati hujiunga na elimu ya kati na ya juu. Ikumbukwe kuwa sekondari nyingi wanafunzi huishi chini ya sheria kwa uangalizi wa walimu, wazazi na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari Ikiwa mara nyingi Mwanamke akionyesha ananipenda sana na kunijali sana afu anakua hana mpango na kuniomba Pesa ,kumtoa out,kumnunulia kitu flani namfukuza kabisa,nahitaji niombwe pesa na...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
Wakuu mimi ni kijana niliyeajiriwa. Nimebahatika kupata msichana aliyeajiriwa serikalini, tunaishi pamoja huku tukipanga kufunga ndoa hapo baadae. Mishahara yetu inafanana kwa kiasi...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Wadau wa MMU habari zenu Yaliyonikuta wikiendi hii ilikuwa zaidi ya majanga. Niliwaza iwe siri yangu lakini nimeona acha nishee na nyie Muwe washuhuda!shuka nayo hiyo Kama desturi ndani ya...
20 Reactions
188 Replies
15K Views
hivi ukiwa unawasiliana na mtu katika hali ambayo huwezi kumuona ama kumsikia nini kitakutambulisha kuwa huyu mtu unayewasiliana nae ni mwanamke au mwanaume. lugha- je ni maneno gani hupenda...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Awe wa dini yoyote, kabila lolote sehemu yoyote tanzania hii namuhitaji. Sina ubaguzi, nahitaji real love. Nahitaji mgumu/aliekomaa mwenzangu tuyajenge maisha. Umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
[Intro – Mayunga] . Please don’t go away Please don’t go away . [Verse 1 – Mayunga] I used to be the one to say I’m through Now my heart is bigger than godzilla Used to wanna walk away from...
1 Reactions
2 Replies
771 Views
DAAAAAAAAAAAAAAAH!!! IME_HAPPEN JUZI WAKUU! NAPITA MITAA YA POSTA NAONA VIJANA WENYE UMRI WA MAKAMO KAMA WANGU, WA KIUME WATATU NA WA KIKE WAWILI WAMETULIA WANAPATA LAUNCH MATATA YA MSOSI WA...
4 Reactions
76 Replies
7K Views
"I'm sorry," It's all that you can say? Years gone by and still Words don't come easily Like "sorry" (like "sorry"...like "sorry"...) "Forgive me," is all that you can say? Years gone by and still...
7 Reactions
84 Replies
8K Views
Ndugu wana Jf Kuna mwanamke nina malengo naye na tayari tupo kwenye mahusiano.Naomba kuuliza Je nitrace historia yake ya kimahusiano kabla ya kuwa na Mimi ili kujua namna ya kumhandle?. Naomba ushauri
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…