Dawa ya kupunguza maumivu ya mapenzi

Dawa ya kupunguza maumivu ya mapenzi

Inog01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,294
Reaction score
1,970
Ndugu wanajamvi,

Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabisa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako.

Haina haja kuumia kihiivo, dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi, badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine. Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.
 
Ndugu wanajamvi;Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabsa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako,haina haja kuumia kihiivo , dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi,
badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine.Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.
kumbe hata umalaya huwa mnafundishana!
 
Aisee...
Ndio Maana demu wangu hata nimfanyie visa gani.... Atachukia lakin nikimowmba msamaha yanaisha....

NAFIKIRI HUWA ANAWAZA :
"Nikisema niachane na huyu gentleman nitampata wapi tena Engineer kama huyu "

Basi mimi ndio NAPATA KICHWA KISHENZ YAAN.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
ukimzingua lazima kuna mtu wa kumtuliza
 
ila ndo ukweli ,wengi hatupendi uwekwe wazi
ukizingatia magonjwa yanayosumbua jamii kwa sasa, kubadilika kwa misimamo ya kijamii kwa sasa (mf. kuongezeka kwa familia za upande mmoja) unauonaje ushauri wako wa kuwa na wanaume wengi kwa mwelekeo huo?
 
akili za kuambiwa changanya na zako
 
akili za kuambiwa changanya na zako
sawa ila shida yangu mara kadhaa nimewashuhudia vijana wa umri wa kidato cha 3-4 wakijadili hoja zenu za jukwaa pendwa hao uwezo wao wa kuchanganya na zao ni mdogo ukizingatia wapo kipindi cha kufanyia kazi maudhui ya hoja yako nadhani ni vema mkawasisitizia pia angalau ngono salama mnapotoa mada kama hizi...
 
😀
 
Ndugu wanajamvi,

Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabisa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako.

Haina haja kuumia kihiivo, dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi, badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine. Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.
 
haina haja ya kutumia madawa,katk ishu ya mapenzi unatakiwa hue na kiasi,ila ukizidisha ndo mara wivu xa

a tusiishi hivyo wadau pamoja xana
 
Back
Top Bottom