Kwema wakuu?
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia wanawake wakisema wanapenda wanaume wenye sauti nzito zenye besi kama ile ya Baraka obama au kama za wale waimbaji wa Boys 2 men.
Hivi sauti nayo huwa...
Wanaume wengi wa kiafrica huwa tuna kawaida ya kuwaombea mabaya wanawake tuliowatongoza wakatukataa au tuliokua na mahusiano nao wakatumwaga.mfano me wakati nasoma chuo,pale mabibo hostel kuna...
Poleni kwa michakariko ya kusaka salari.
Hili nimekuwa nikilifikiria kwa kadiri ya uzoefu wangu. Mara kadhaa ninapokuwa katika mechi na mwanamke wa umri mdogo huwa nina shuhudia kuwa wanakuwa na...
Wapendwa natumaini wote mu wazima,
Katika kupitia pitia mada mbalimbali humu jamvini, nimekutana na post hii ya muhanga ambayo imenifanya niwaze mengi kiasi cha kujikuta nachanganyikiwa na hivyo...
Nawasalimia wana JF.
Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm.
Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa...
Unaishi peke yako, na katika nyumba yako kuna stoo iliyoko uani ambapo ndipo unapotunzia vitu vyako mbalimbali. Mlango wa stoo yako huwa unaufunga kwa kufuli ambayo haihitaji kufunga na funguo...
......Bwana Magoti, mrefu kiasi na mweusi, anakuja kutupokea akiwa ameambatana na watoto wake watatu, wadogo; Happy, Eliza na Witi.
Tulipofika nyumbani kwake, alitukaribisha kwenye banda la uani...
Habari za wakati wanajamvi wenzangu,
Natumaini mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa.
Kilichonipelekea kuandika huu uzi ni baada ya kufumania message za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu.
Mimi...
Salaam zenu wakuu,
Mambo ya ndoa ni mengi mno kwa kweli ukiamua kuwa mtoto mtiifu kwa mke ni tabu ukisema uendelee na uzinzi bado ndoa haiwi na amani, sasa sijui mtu ufanyeje. Ni kama mwezi...
Nawasalimia wana JF wote siku ya leo,
Nimekuja leo tena katika mwendelezo wa maelezo mazuri. Unajua tukiwa marafiki kunavitu tunapashana na kuelezana ili hatimaye urafiki wetu udumu na uzidi...
Habarini Wanajamvi!??
Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo...
wakuuu
tukiacha hali ya mazoea baina ya mke na mme ya kufanya usiku,ebu tuje kwenye uhalisia
Assume unampenzi na ni mara chache kukutana nae,
ikatokea mkakubaliana weakend mkutane ili mjivinjili...
Habari za asubuhi wana JF,
Tumaini langu ni wazima wa afya, kuna jambo nimejaribu kutafakari baada ya chunguzi zangu nyingi, nahisi ntakubaliana na mimi na japo watu wataopinga pia ila hili si...
Wakuu,
Mimi ni kijana nilitokea kumpenda msichana tena kwa upendo wa kweli
nina malengo ya kuishi nae hapo baadae kama mume na mke, lakini huyo mpenzi wangu ananizidi umri, ananizidi mwaka mmoja...
Kama ilivyo ada ya muungwana yeyote kwanza hutanguliza salamu, basi napenda kuchukua fursa hii niwasalimie wana MMU, Habari za siku ya leo na shikamoo kwa wale wakubwa. Pia nitoe pole kwa wale...
Kiukweli japo malalamiko mengi yanawahusu ukijirajibu kuangalia thread nyingi chanzo ni mwanamke kama kuna mmoja amerukwa akili sababu mwanamke amemuacha bila sababu na ilihali amemtoa mbali leo...
Kuna vitu vinanichanganya, mfano unakuta kijana anashinda kwenye kioo nae anajipodoa, kijana anapaka mkorogo, carolite n.k. Kijana anashinda gym eti anavuta mbawa six packs ili awachanganye...