Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini...
4 Reactions
99 Replies
14K Views
Ndugu zangu wanajamvi habari zenu..Nimevumilia lakini nimechoka,na uvumilivu umenishinda nimeamua niseme labda mnaweza nipatia msaada wa kimawazo.Nina mpenzi na tumedumu kwa takribani mwaka mmoja...
2 Reactions
87 Replies
9K Views
Mwananke akinipa papuchi tu Mara moja nakua sina ham tena ya kuendelea kuigegeda siku nyingine Tukiachana ndo habar inaishia hapo natafuta nyingine ,mwanzoni niliona sawa ila sasa naona kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Greetings I once came here to link-up my girlfriend(girlfriend,read it correctly) with someone who might be interested to start a potential relationship with her.It sounded weird to some,but yet...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina miaka 29,nahitaji mchumba mwenye miaka 18-28 na awe anapatikana musoma-mara au mwanza.Aliye tayari anitumie ujumbe pm kwa maelezo zaidi. Niko serious
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanawake wameumbwa tofauti sana na wanaume kutokana na tafiti. Wanapenda kubembelezwa, kuonyeshwa upendo wa hali ya juu na kuwajali. Wengi hupenda zawadi hasa za suprize na zenye thamani. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali nawe una,mke/Mume au upo bachela, *je ni haya magari wanayonunua/kununuliwa Yanawazuzua...
4 Reactions
120 Replies
9K Views
Ni kijana wa miaka 27 nipo Mwanza (kikazi) natafuta mchumba/mke umri kuanzia 18 na kuendelea, ni pm kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza) kuliko yote nawapa pole wanawake wanaofanywa mapenzi kwa nguvu, ama kavu kavu, hadi anaumia, pole. Wanawake wengi wanakimbia waume zao, sababu mume anamuingilia mke kama kuku. Wanaume mnao...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Hapa nilipopanga nje kuna saloon ya KIKE, kiukweli imekua tabu pale napopata Goma ili nikaelee nalo magetoni,wadada hawa wasaloon wamekua wakitoa macho kama umepoteza pay in slip, ukizingatia sina...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Natumai hamjamboo wote. Niende kwenye maada. Sku moja nikiwa nmejipumzisha nyumban nikiwa nashusa bia yangu baada ya kutoka kwenye utaftaji niliamua kuperuzi kwenye social net. Nikiwa naendelea...
14 Reactions
127 Replies
26K Views
SING WITH A MAN FROM THE STARS If I’m allowed once again If I could see you again Inside my past memories Inside that pain I call you You’re my destiny, you are You’re my destiny, you are You’re...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani, kuna mdada jirani yetu anajidai sana. Sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfahamu anakaa nae nyumba moja, sasa wakati yule dada kaja...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, Nimeshituka kidogo, mchezo mchafu wa hawa ndugu zetu wanawake. Kuna mwanamke mmoja yupo hapa mjini kikazi ila mume wake anaishi Arusha kikazi pia, lakini inashangaza nimesikia...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Habari wana MMU? Kuna usemi huu unaowahusu dada na mama zetu (wanawake). Je usemi huu una ukweli? Naomba kuwasilisha.
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Mzee Mpiluka tajiri mkubwa wa majumba ya kupanga jijini Dar es Salaam alikuwa akiishi peke yake kwenye jumba lake la kifahari lililopo maeneo ya Masaki. Alikuwa ni mlemavu wa miguu na kiuno baada...
5 Reactions
25 Replies
10K Views
Nimekuwa nikipitia hii forum mara nyingi wanawake wengi ndio wanatafuta wanaume wa kuwaoa na vigezo kibao. Labda kutokana na kuwa vigezo vingi ndio vimepelekea kukosa wanaume wa kuwaoa sasa wana...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Utafiti mpya kabisa kutoka chuo cha Colombia kuhusu mahusiano na fedha umekuja na matokeo matatu ya kushangaza Mwanaume kuwa na hela nakujua kugegeda mahusiano huwa mazuri sana Mwanaume kuwa...
14 Reactions
512 Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…