buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Habari zenu wadau,
Nimeshituka kidogo, mchezo mchafu wa hawa ndugu zetu wanawake. Kuna mwanamke mmoja yupo hapa mjini kikazi ila mume wake anaishi Arusha kikazi pia, lakini inashangaza nimesikia akiongea katika simu yake akiweka makubaliano ya bei na location ya gest fulani hapa mjini.
Mimi nikiwa kama jirani yake, nimeubaini huu mchezo mchafu anaoufanya na wakati mwingine huwa anaweza akaongea na mume wake akiwa na mteja wake pembeni, nakusihi yule mteja asiongee lolote maana anaongea na mume wake.
dada huyu anawatoto wawili wote wanaishi kwa baba yao na inavyoonyesha mume wake hana shida na huwa dada huyu huwa anamuita mumewake darling, sweet, anambusu akiwa katika maongezi, daah! Ninachoka sana jamaa hajui, sijui nini sababu ya uyu dada kujiuza sijui.
Sasa jamaa akijua anaweza akasalimika maana huyu dada anavyobadilisha vijana, mimi nachoka kabisa. Sina mazoea na mtu yoyote kati yao lakini mimi ni jirani na huyo dada. Wanaume wa mikoani angalieni wake zenu wanaofanya kazi Dar au wanasoma au wanafanya biashara kwa asilimia kubwa huwa ni malaya walio kubuhu.
Nawasilisha.