Hivi ni kwanini tunatoa mahari?

Hivi ni kwanini tunatoa mahari?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,596
Reaction score
29,525
1476372395862.jpg
 
Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume,

afadhali mambo yamebadilika kidogo sasa hivi, zamani ilikuwa wazazi wanampa mwanaume binti yao kama atafikia kiwango cha mahari na sio kuridhiwa na binti kwa kuwa binti ni kama bidhaa

binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,

kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
 
Mkuu we jipange tu ukatoe hiyo mahari bhana .... yaana wataka kubargain mpaka mahari???? Chaaaa
 
  • Thanks
Reactions: EFS
Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,

kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Naitaji kukuoa!!!
 
Mahari lazima ilipwe kwa kuwa ni desturi ya makabila mengi hapa kwetu Tanzania, ni alama ya kutambua ulezi wa wazazi kwa kumlea binti hadi anakuwa mkubwa na kuja kupata mweza wa maisha, mahari sio bei ya kumtoa binti na wala haiwezi kulingànishwa kwa namna yeyote ile na thamani ya binti husika
 
soma vitabu vyq MUNGU mwanaume atakula kwa jasho lake mwenyewe na mwanamke atazaa kwa uchungu.... km hamtaki mtoe mahali kwa jasho lako mwenyewe na mnaona ni uonevu basi ombeni MUNGU tubadilishane mfumo nyinyi mzae kwa uchungu nasi tule jasho letu kwa uchungu.
 
ndio madhara ya kuhusisha kila kitu na imani za kidini, sasa hapo me too ndio umeandika nn sasa? mfano unaotoa toka kwenye maandiko wala hauhusiani na mada iliyopo
 
Kwa sababu ule kipochi manyonya kwa raha zakooooo!!
 
If you really love her... u'll do anything for her!!!
 
Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,

kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?

Hata mm nashangaa,nimesoma nimegharamiwa,then namlipia mtu mahali anakuja kwangu na bado namtunza yy na shida za kwao pia ni Mzigo wangu hao hao walioniuzia binti yao..ndio maana kuoana me bado sana..
 
Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,

kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Sherehe za harusi jee?
 
Mahari lazima ilipwe kwa kuwa ni desturi ya makabila mengi hapa kwetu Tanzania, ni alama ya kutambua ulezi wa wazazi kwa kumlea binti hadi anakuwa mkubwa na kuja kupata mweza wa maisha, mahari sio bei ya kumtoa binti na wala haiwezi kulingànishwa kwa namna yeyote ile na thamani ya binti husika

wamemlea amekua mkubwa lakini hana bikra ndo malezi gani hayo?
 
Back
Top Bottom