Kuna bwana miaka 50+ mwana usharika mzuri tu na familia yake, miaka iliyopita mke wake alifariki wa ugonjwa wa saratani, kwenye ndoa ile walifanikiwa kupata watoto watatu wa kiume. Yule mzee...
Apo chacha!
Leo ningependa tushirikiane wanaJF wote kufanya tafiti ili tuweze kuwa na takwimu mathubuti, tafiti yetu ina lengo la kutaka kupata picha ni kwa namna gani watanzania wanachepuka na...
Habari wanandugu.
Nina miaka 30 sasa chini ya jua hili. Naishi peke yangu. Sina mchumba wala mpenzi ila natamani sana kama niwe na mwenzangu japo wa kubadilishana nae mawazo usiku lakini moyo...
Mwenyenzi Mungu yupo na anajibu dua zetu.leo nimepata habari njema sana katika maisha yangu, i can wait to sleep in my new bed with new dreams! i wish my mr right angekuwepo hapa leo.
Kwa wale...
Wapendwa habarini....
Kwa sasa kama kunakitu nakiogopa basi wanadunia hii ya Leo. Huwa najiuliza inakuaje MTU anampa thamani na matunzo ya hali ya juu MBWA kuliko hata huosegirl wake.
Jamani...
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni...
Mnamo tarehe 25 Julai 2010 majira ya asubuhi, tajiri mmoja maarufu aliyetambuliwa kwa jina la Bwana Kizito alikutwa ameuawa nyumbani kwake kwa kupigwa na kitu kizito kichwani alipokuwa sebuleni...
Nmejalibu kila namna nmeshindwa had najikuta mm ndo namtukna tena huku mm bado ndo nilimpiga na sio Mara mbili zote kanisameh hii ya tatu ataki kabisa hta kuonana na mm na nikipigia cm apokei...
WANANDOA WATAKAOISHI PAMOJA LAZIMA WAWE ENEO MOJA LA KAZI.
umuhimu wake.
1.watatimiziana haja za ndoa yao barabara na kwa wakati muafaka
2.inapunguza vishawishi vya usaliti na migogoro
3.hata...
Wadau nimekutana na hii sijajua malijali wenzangu mko na maoni gani, kavipi tupia machache hapa.
*MKE MMOJA HATOSHI*
Mke Mmoja Si
Mke,
waume Nawaambia.
Mke Apendae
Peke,
mahaba Hajayajua...
Nikiwaza sana suala la huyu jamaa wakala wa shetani aliyemtoboa macho mwenzie najikuta napatwa na hasira,ghadhabu,uchungu,huzuni na masikitiko. lakini nikakumbuka kuna scorpion wengi tu humu...
Hi JF.....[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate...
Siku zote huwa tunafundishwa kuwa mke au mume bora(wife material or husband material) hawana bei, hawahongeki, hawaibiwi wala kuporwa.
Kuna wanaume na wanawake wanaolalamika kuwa wanaibiwa wake...
Nawasalimu,
Napenda kufahamu kwa kawaida mwanaume anapiga mabao mangapi anaposex. Ni utafiti tu kama sehemu ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tushare experience. Binafsi naishiaga mawili tu...
Uzuri na urembo wako, pamba na mkorogo, makalio na mahips ulivyonavyo kamwe havitamfanya mwanaume uliye naye awe wako peke yako.
Unajidanganya.
Mwanaume hatosheki hata umpe kila Tundu bado tu...
Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika Box kubwa na kuanza kulifungua kwa pupa kwani alikuwa akikumbuka kuwa alipewa na Mama yake siku ya harusi yake na alitaka kujua ni...
Habar za asubuhi
Tumaini langu ni wazima nyote, na kwa wale wenye mitihaani mbali mbali basi nitumie fursa hii kuwaombea mola awape takhfifu katika yale mnayokabiliana nayo,
Sina lengo la...
Niliurudia mara mbilimbili pindi ulipokuwa unaisha mwimbo huu wa bibie celine dion, maana maudhui yake yanagusa maisha yetu ya kila siku hasa ya mapenzi,
Mara nyingi imetokea kwa baadhi ya watu...
Habari za asubuhi wanaJf,
Hii ni mara yangu ya kwanza kutoa thread kwahiyo naomba ushirikiano wenu wapendwa.Katika mahusiano yangu mambo si mazuri kama nilivyotarijia,the guy in my life runs out...