When a wrong one loves you right

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,263
191
Niliurudia mara mbilimbili pindi ulipokuwa unaisha mwimbo huu wa bibie celine dion, maana maudhui yake yanagusa maisha yetu ya kila siku hasa ya mapenzi,
Mara nyingi imetokea kwa baadhi ya watu tena ni wengi tu tukiwa katika mahusiano tunakuwa na vipaumbele vyetu, utakuta kama ni mwanamke anataka kuwa na mwanaume mwenye sifa flani flani na uwezo flani hapo yeye ndipo anakuwa anapata ile furaha katika mahusiano hayo, na kama ni mwanaume naye halikadhalika. Cha ajabu ni kuwa cku zote ukimtafuta wa zile sifa unazozitaka kumpata ni shida yaani unaweza ucmpate kabisa, hapo ndipo watu tunapojikuta tumeangukia katika mikono ya wale tunaowaita ni wrong persons katika maisha yetu ya kimapenzi.
Mara nyingi ktk experience yangu ya haya mambo, nimegundua kuwa wale tunaowaona kuwa wrong pple ktk maisha yetu ya mapenzi mara nyingi ndiyo wanaotupenda kikamilifu yaani 100% na ku2treat right kama ni mwanamke atamfanya mwanaume ajione kweli yeye ni mwanaume, na kama ni mwanaume basi atamtreat mkewe au mpenzi wake like a lady, labda hicho ndicho kilimfanya mwanama huyu kutoa tungo hii, na palel 2wapatapo wale wanaokuwa na vigezo tunavyovihitaji mambo huwa ni vibweka, vilio na majonzi kwa kwenda mbele. Sasa mimi najiuliza inakuwaje mambo haya, na kwanini maisha yaende namna hii? Ila hata magnetic theory inasema kuwa like poles repel while unlike poles attract each other, kumbe mwenye sifa uzitakazo mnafanana so hamvutiani, kuliko yule wewe unaemuana ni wrong choise kwako.
Baada ya mda mrefu ndipo jibu nililipata katika mwimbo huu wa celine dion, nae kasisitiza kabisa "cant stop, cant resist when a wrong one love me right"
Waungwana nimeendika haka kakipande ka ujumbe kushare nanyi kaujuzi kangu kaduchu ktk maisha ya mapenzi, nilichogundua ni kuwa kinachomatter ktk love ni kile unachopokea kukiko unachotoa, ndio maana mtu akipenda huweza kufanya lolote ili kumkeep mpenziye maana anaona thamani ya kile anachotoa ni ndogo kulingana na kile anachopokea, vivyo hivyo kama upo na mtu ambaye hana sifa ulizokuwa unazitaka lakini anakupenda na anajitahidi kwa kadri ya uwezo wake kukuonyesha kuwa anakupenda ndugu yangu ucmwache huyo jiachie, tarartibu utaiona thamani yako na ya utu wako, tusipimamne kwa zile sifa tunazojiwekea kwa mtu kuwa nawe bali perfomance ya mtu husika na uwajibikaji wake, jamani acheni mapenzi yaongoze njia yenu katika maisha ili mfurahi, Spice Girls waliimba hilo"Let Love Lead The way" ,

Jamani tukitafuta tunaowataka sisi ,Mungu atajidhirisha tu na atakupa anaye mtaka yeye uwe nae, maana yeye alipokushusha duniani ujuealikuwa tayari kashakuandalia wako, kazi ni kwako kumfahamu ni nani, tutambue pia kwamba sio vyote tuvipendavyo tunaweza kuwa navyo maishani, waswahili wanasema USIPOPATA ULIPOPENDA BASI SI HABA UKIPENDA ULIPOPATA
asanteni
 
mmh umenena ya ukweli
asilimia kubwa watu wanaishi na watu wasiowapenda..MWENZAKE ANAMPENDA BT YEYE HAMPEND...MAWAZO YAKE NI KWA JANE AU SALUM si kwa uyu alienae....
ahh labda ni mipango ya mungu!!!!!
 
hilo ni tatizo la kuendekeza nafsi lakini wakijaribu kuvuna walichopewa na mungu hata huyo nani cjui humkumbuki. halafu we rose hilojicho mi spendi hivyo
 
yani ferds umenena kabisa,halafu haya maelezo yako yamenigusa haswaaaaaaaaaaaa!!hasa hapo kwa nyekundu thnx kwa ujumbe mzur kbs
 
hilo ni tatizo la kuendekeza nafsi lakini wakijaribu kuvuna walichopewa na mungu hata huyo nani cjui humkumbuki. halafu we rose hilojicho mi spendi hivyo
ila anakonyeza vizuri usikute ndipo maradhi yako yalipo unajifanya hupendi ferds
 
The problem is we can't learn how to love, coz we can't control our hate and love situations. And we don't stop loving we only get used to live without the people we love!!!
 
Yes bt it depends with the circumstances, for a person who is forced to marry some one it is hard to accept especially when he/she was in love with some else, bt my case is for those voluntary relationship we have with pple in the above narreted stry, If you are in relationship voluntarily with a man or woman who is nt of ur choice, per your choices, then with time I hope slowly if you soften you heart and mind and take time to discover his/her pontentials, Iam confident, such a wrong one so colled will turn to be your perfect much, it is a simple theory bt needs practices and self sucrifices.
 
wala hujanichoma ferds umenisaidia kwa kiasi kukubwa u know wat?sometime unaweza ukawa unawaza mwenywe ukaona upo sahihi bt hebu sililiza mawazo ya wengi pia yanasemaje unaweza ukapata kitu tofauti.unajua hii mambo inasumbua wengi saana ukinyamaza sana siku moja unaweza lipuka bure kwa mawazo
 
Wenyewe wanasema fani ya mapenzi ni sawa na bahari kwa upana na dhoruba zake na kama bahari ilvyo haina fundi wa kuogelea hata baharia anakufa na ujuzi wake wa kupiga mbizi , au nimedanganya
 
umesema kweli rose watu waongo sana yaliyomo mioyoni na mdomoni tofauti sana
mmh umenena ya ukweli
asilimia kubwa watu wanaishi na watu wasiowapenda..MWENZAKE ANAMPENDA BT YEYE HAMPEND...MAWAZO YAKE NI KWA JANE AU SALUM si kwa uyu alienae....
ahh labda ni mipango ya mungu!!!!!
 
Ferds ...... unaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa vijana wanaokaribia kuchumbia/wa .......keep it up!
 
Back
Top Bottom