Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Habari wana JF Kwanza nina furaha sana leo coz ni muda mrefu niliacha kuwa concerned sana na safu hii kutokana na kuvamiwa na watoto wengi un-matured. Ila leo nimejikuta nikihitaji msaada hata...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari zenu, Kuna nyumba nimepanga maeneo ya kino tunaishi wapangaji sita wote wasela na mtoto wa mwenye nyumba wa saba amepewa chumba cha kuishi. Bahati mwenye nyumba hakai hapo. Kuna dada...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Ilikuwa siku ya Ijumaa jioni nikiwa natoka kwenye miangaiko ya utafutaji, nikapigiwa simu na rafiki yake Marry(Sio jina lake halisi), kuwa Marry yuko hospital amepoteza fahamu. Nilitaka kujua...
13 Reactions
119 Replies
9K Views
Hii movie niilipenda sana na bado huwa sichoki kuingalia, imeigizwa na wamarekani weusi, naomba mwenye majina ya movie zenye kuelimisha kama hii tafadhali, preferably za mahusiano.
8 Reactions
93 Replies
11K Views
Ndugu zangu wanajamvi, Kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA wangu ni ndugu kivile? Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba wangu kwa kipindi kirefu, mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa...
4 Reactions
190 Replies
29K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo nmeguswa sana na Ibada fulani ilokuwa inaendelea kwenye TV. Mama alikua analalamika kwamba anatamani mtoto lakini imeshindikana kupata mtoto. Roho imeniuma sana. Nikaona...
13 Reactions
100 Replies
10K Views
Niambie kitu ambacho hautokuja kukisahau katika maisha yako ulichofanyiwa na mchumba wako au rafiki yako?
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari za usiku ndugu zangu, Embu tujaribu ku share changamoto tuzazokutana nazo katika harakati za kupata wenza wa maisha, na jinsi yakuepuka maumivu ya moyo na ikiwa umejikuta upo na wrong...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi katika mapenzi anae kuwa anafanya mambo ya kitoto ni tabia ya mtu au ni umri pia unachangia?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu maeneo nyeti katika mwili yenye kuamsha ashki ni kama yanavyoonekana kwenye picha hapa chini:
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nilimpenda sana nilimtunza kama almasi. Aliponikosea sikutaka kuuliza ila kukaa kimya sikupenda kumuudhi. Alipohitaji msaada nilikua karibu nae wala sikujali usaliti wake na siku zote niliamini...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili...
1 Reactions
89 Replies
13K Views
Mwanamke bhana, mwanamke mtu hatari sana, akiamua kukuonyesha mapenzi ya dhati unaweza kuoa bila kutarajia, na wengi upendo uzidi mara mia elfu pale ambapo ana nia na kitu, mfano kadhamiria kabisa...
16 Reactions
85 Replies
10K Views
Mambo zenu marafiki napenda sana kuwa na marafiki waina mbalimbali kama mnaweza kunifollow OK!!! I'm male naumri 46 [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi najiuliza kwanini wanawake wenye sura mbaya wana makalio(chura ) kubwa...
1 Reactions
20 Replies
20K Views
Habari wana MMU, Hivi hii inaweza kutokea? Yaani unaweza fall in love mpaka wanawake wengine unawaona ni wanaume? Mmmh... Tumtafutie huyu jamaa mrembo kutoka hapa kama hajashikwa fasta... Huyo...
8 Reactions
212 Replies
24K Views
Kuna kaka mmoja ambaye ni rafiki yangu kitambo sana. Tulisoma wote chuo kikuu degree ya kwanza tukisoma darasa moja na kozi moja. Baadaye tukasoma tena masters kozi moja. Kipindi chote cha masomo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Good Morning people, Raha sana kuimbiwa asikwambie mtuu, bila kujali sauti yake (vocal) kule kuimbiwa huku unakunwa nwa na kuchezewa nywele basi najikuta narembua machoo na kutabasamu kama...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Yaani ninabalaa hapa nilipo mwanamke niliyenaye ni mbabe hataki hata niongee na wanawake wengine. Nikisimama tu na msichana mwingine lazima amtafute ampe kisago. Nataka nimuache maana siku...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zenu jamani, Natafuta mke wa kuoa awe angalau na sifa zifuatazo; 1. Awe na nia ya dhati ya kuwa married na sio tu kwa sababu shost zake wameolewa. 2. Umri kuanzia miaka 20 hadi 27 tu. 3...
2 Reactions
0 Replies
807 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…