Changamoto tunazozipata tukitafuta wachumba

Changamoto tunazozipata tukitafuta wachumba

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,052
Habari za usiku ndugu zangu,

Embu tujaribu ku share changamoto tuzazokutana nazo katika harakati za kupata wenza wa maisha, na jinsi yakuepuka maumivu ya moyo na ikiwa umejikuta upo na wrong person jinsi gani waweza kuepuka, kupeana ushauri jinsi gani yakupata MTU sahihi.
 
Pritty.. nadhani changamoto zA maisha ziko nyingi. suala kukutana na wrong person kwenye ma husiano na jinsi ganinya kuwaepuka .. ni kwamba hiyo decision unakuwa nayo ww.. na pia kama una experience basi utatambua ni mtu wa aina gani unahitaji kuwa kwenye mahusiano nae.

Ila kama huko tayar kwenye mahusiano na mtu ambaye ww mwenyewe unaona sie. Basi bora ukae nae uongee nae.. kuhusu hilo suala.. na majibu yatakuwa mawili tu.. moja.. ni kwamba akubali ajirekebishe.. au akibisha basi mahusiano yavunjike.
 
Back
Top Bottom