Masahahisho ni kuelimisha badala ya kuerimisha.Hii movie niilipenda sana na bado huwa sichoki kuingalia,imeigizwa na wamarekani weusi,naomba mwenye majina ya movie zenye kuerimisha kama Hii tafadhari,preferably za mahusiano
Tafta moja inaitwa "A diary of a Mad Black Woman" mkuuHii movie niilipenda sana na bado huwa sichoki kuingalia,imeigizwa na wamarekani weusi,naomba mwenye majina ya movie zenye kuerimisha kama Hii tafadhari,preferably za mahusiano
Movies karibia zote ambazo zimechezwa au kudirectiwa/kuproduziwa na TYLER PERRY ni za maadili sana..just GOOGLE Tyler perry utaona muvi zake nyingi sanaHii movie niilipenda sana na bado huwa sichoki kuingalia,imeigizwa na wamarekani weusi,naomba mwenye majina ya movie zenye kuerimisha kama Hii tafadhari,preferably za mahusiano
Ipo na 'a diary of a tired black man' Kama sijakoseaTafta moja inaitwa "A diary of a Mad Black Woman" mkuu
Lei it shine
love don't cost a thing
friend with benefit
a walk to remember
Tyler James Williams msanii wangu huyu tangu every body hates chrisLet it shine ipo poa sana