Masanja adai anampenda Monica mpaka wanawake wengine anawaona ni wavulana

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Habari wana MMU,

Hivi hii inaweza kutokea? Yaani unaweza fall in love mpaka wanawake wengine unawaona ni wanaume? Mmmh... Tumtafutie huyu jamaa mrembo kutoka hapa kama hajashikwa fasta...

Huyo Monica si wa kawaida tu??

6bcb5e531ad556033868824efa59b8fe.jpg
 
hii imekaa kwenye kumbukumbu, siku isiyo na jina waswahili watakukumbusha. ukimpenda mtu mpende 50% na ukimchukia mtu mchukie 50% , hiyo 50% iliyobakia itakusaidia siku upepe ukibadilika, aidha wanawake hawaambiwi maneno hayo TUTAKUKUMBUSHA.
 
Itafahamika tuuu... Mpe muda!
hata zawadi hamjafungua maneno mengi. masanja hata yesu hakua na maneno mengi aliulizwa ww ndio mfalme wa wayahudi akajibu we wasema nadhan ungekua ww ungeandika insha. unaposema we n mchungaji na unavyo behave mm cdhan n sahh. jipe mda halafu kwa maneno yako unawapa kk watu waanze kufuatilia kwa nn wasema hvo asa usishangae ukasikia hakuna ushemeji wamekula

Back
Top Bottom