Mama ake mzazi aliemlea miaka yote ile hashiki
simu yake...sasa wewe ulieokotwa majuzi tu hapa
haki hiyo ulipewa na shirika lipi kwenye umoja
wa mataifa? Kupendwa na mtu sio kibali cha kua
na...
Tumezoea kusikia matamko kutoka kwa mabinti kama vike
kazi ndiyo mume wangu,
mume si lazima ninaweza kuzaa nikalea mwenyewe,
kuolewa siyo lazima,
kuishi single ndo maisha niliyoamua, n.k
Mi...
Katika vitu ambacho sitakuja kujaribu ni kushika na kuangalia simu ya mpenzi wangu wala yeye haruhusiwi kishika yangu..Maana spendi matatizo naskia karbia kila siku watu wanalia kuhusu simu za...
Haya ndio mambo ambayo mwanamke anajitolea kwaajili yetu
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako...
Habarini Wadau,
Hii inaitwa "EMOTII"
Aisee Ukweli ni kwamba Wamasai hawana asili ya Uchawi wa kutumia ndumba, kumtumia paka, jini au kibwengo, labda waununue huo uchawi wa hivyo.
ILA kuna...
Habari zenu
Nilikuaga na mpenzi wangu nampenda sanaa
sasa ikafika mahala nikawa nimependa kiasu kwanba bila yeye sifanyi kitu. Sasa ikaifika kipindi nikawa nimeathiriwa kisaikolojia.
Nakua...
Habari wakuu.
Nadhani dhumuni la familia ni kuwa na ile family bond kwenye kila jambo. Inapotokea mnatofautiana mambo fulani fulani, hakika huwa ni matatizo.
Tatizo la kutokuabudu pamoja ni...
Habari zenu wanajamvi
Dunia hii ni ya maajabu sana na nimeamini dunia haina siri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wanaume wengi wanalea watoto siyo wao bila ya wao kujijua,wanawake siyo wa...
FUNDI CHEREHANI
KIJAKAZI WA KIUME
Sehemu Ya 51....(.9.)
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
Asnati alikurupuka na kuelekea chumbani kwangu huku mimi...
Ni msichana mdogo ndo kwanza ametimiza miaka 18 mwaka huu, tunamchukulia Kama mdogo wetu kwenye familia.
Alivyomaliza darasa la Saba huko mkoani kwao aliamua kuja mjini kutafuta Maisha, katika...
Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] <br />
habar za asubuhi wakuu.
Naomba Tusaidianeni mawazo katika hili,
wengi huwa tunaachwa katika wakati mgumu Sana na mazingira magumu,ikiwemo kashfa dharau kejeli,
kwanini Tusiachane kimya kimya...
Mwanamke ni kama kunguru hafugiki, mwanmkehata umufanyie nini sio wa kumwamini hawana shukurani hawafai hawana utu ni wauaji. Baaada ya kumpenda housegirl wangu na kumtunza kwa kumthamini sikujua...
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet...
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...!
1. Wana
Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli.
4...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Siku hizi kumekua na mfumo wa wapenzi kuwekana kwenye profile picha kwenye hii mitandao ya kijamii kama ndo kiashiria cha upendo.
Msichana kuweka picha ya...
Leo nimekaa nimewaza na kuwazua wewe umeoa au umeolewa lakini michepuko kwako haikatizi ukitoa vijisababu viiingi mradi tu kujustify kwa nini una michepuko.
Hivi unajisikiaje unaporudi nyumbani...
Hallo Wandugu Wana-JF
Naomba nianze kwa kuheshimu Uhuru wa kila Mtu kupenda kile akipendacho.
Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Manukato ya "Issey Miyak"
Ningependa kuuliza, Je kuna aina nyingine...
Nawasalimu wapendwa wote.
Katika jamii tunayoishi wapo watu wengi wapendao kupokea zawadi hata pasipokuwa na jambo la msingi linalohitaji wapewe zawadi hizo.
Nimegundua mara nyingi athari kubwa...
Jamani naomba radhi kwa kurudia topic,ni kwa sababu hii kitu ni sensitive sana,naomba m-share experience zenu cku ya kwanza kutolewa bikra kwa wote men's and women's, haswaaa wanawake ilikuwaje...