Nimegombana na mke wangu akaniambia nina sura kama Zamadam. Je, anamaanisha nini?

Mayor Slum

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
452
Points
1,000

Mayor Slum

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
452 1,000
Mkuu ukita kuenjoy kuishi na mwanamke mpuuzie tu wala usingombana naye akileta vita (maneno maneno) wala usimjibu kaa kimya mwache utajiona mjinga ukiendelea kumjibu lazima utampiha wewe kunja zako uso tu kuwa serious endelea na mambo mengi wala usimjali mwanamke kwa mdomo na maneno ndio kazi yao hiyo ukimjibu na kumsikiliza anachosema (mkijibozano sana lazima mpigane tu ) wanawake ni kuwaacha tu ukichokabisa akiona haeleweki mwache tu hama kaanze maisha yako ukikomaa naye sana unaweza kumua tu

Mwanamke maneno hayaishi hayaishi na ndio silaha yao hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,178
Points
2,000

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,178 2,000
Jana usiku NIMEGOMBANA NA MKE WANGU AKANIAMBIA NINA sura Kama ZAMADAM je huyo ZAMADAM ninani ? Amenitukana Sana au nidharau nichukulie poa?
Hii ni kali pole ZAMADAM nikipindi kinarushwagwa TBC so sijui zamadam ni mwanadamu wa kwanza au ila nimefurahi sana.
Imenipa burudani umemkosea nini weekend hii.
 

Forum statistics

Threads 1,391,320
Members 528,392
Posts 34,078,095
Top