Salaam ndugu zangu,
Upo usemi usemao mchumba hasomeshwi.
Kila uchao na uchwao kumekuwa na vilio vingi kwa vijana wa kiume waliojitolea kuwasomesha wachumba zao kabla ya kufunga ndoa ila baadae...
Habari zenu,
Poleni na hela hela za siku ya muungano na mipango mingi iliyosukwa mitandaoni. Kama ilivyo ada siasa ilinishinda siku ile alipotangazwa raisi wa awamu ya tano hivo hayo nawaachia...
Wadada mbona mnatia aibu na kichefu chefu sana kwa hizi njaa zenu?
Nipo Moro town hapa,wakati nashuka mjini mdogo mdogo kutoka ghetto ,nakutana na wadada wawili wameegamia tax maeneo ya Morogoro...
Binafsi mpaka sasa nimeshawazaba ' Vibao ' Wanawake kama Wanne hivi na naona idadi yao itazidi kuongezeka kwani naona hawataki kubadilika na haka ' Kamsemo ' ambako sioni aibu kukaita ka '...
Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wanawake walioolewa kuwanyima unyumba waume zao ni kwamba mnakuwa mmewazoea sana waume zenu kiasi mnakosa hamu ya tendo la ndoa? Mnakuwa mna matatizo ya...
Kuna ' Mpangaji ' mwenzangu mmoja ana siku ya Tatu sasa tokea ahamie katika Nyumba tunayoishi Wapangaji wetu na kiukweli anatutesa mno Sisi wenzake hasa kwa Kitendo chake cha kupiga Kelele za...
Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana.
Songa nami.
Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40.
Waalikwa...
Tukumbushane Mpenzi na mapenzi ya mwanzo.
Mimi nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naogopa hata mtu akinisogelea .
Unakuta naaga naenda kwetu .
Ukiniambia i love you naona nimeambiwa labda...
Daa jamani haya maisha sio mchezo ule msemo wa don't trust a woman nimeanza kuamini .
Yaani nimejikuta nimekuwa mpole kama piriton hamuwezi amini mpenzi siku ya leo alinipa kazi ni update...
Wakuu
Maisha ya shuleni ni matamu sana,hasa ukipata ka binti mkapendana nako,utatamani kila siku uhudhurie shuleni, akikuzingua kidogo maisha yanabadilika,husomi,unalala darasani,unakuwa kama...
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea...
Imani nyingi zinasema kwamba ili uwe mtu safi (mtakatifu) inabidi usifanye ngono mpaka utakapoolewa au utakapooa. Na zingine zinasema usifanye ngono maisha yako yote. Hii yote ni kukandamiza...
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
Na Wanawake wenye hizi tabia wanatoka sana katika haya Makabila tajwa....
1. Wahaya
2. Wanyiramba
3. Waha
4. Wanyaturu
5. Warangi
6. Wakara
7. Wanyamwezi
Huwezi kukuta Mwanamke kutoka Mkoa...
Sijui kwako ndoa ina maana gani lakini kwangu Mimi ndoa ilinipotezea Muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu.
Sikuwahi kuwaza chochote kuhusu ndoa wala kuitamani, lakini...
LUCIFER EFFECTS ni dhana ya kisaikolojia iliyoanzishwa na Profesa Philip Zimbardo, inayofafanua namna mtu mwema kabisa anaweza kubadilika kuwa mbaya kupitiliza kutokana na mazingira, mamlaka au...
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio...
Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo...