Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta kila Jumapili ukienda Kanisani ( hasa haya ya Kiroho ) ' Kusali ' unaona jinsi Mabinti na Wanawake wanavyojitokeza mbele ' madhabahuni ' kuombewa wapate Wachumba pale wanapoombwa na...
18 Reactions
99 Replies
11K Views
Leo wakati nafanya usafi nimekuta chini kuna hereni, mimi sina hereni za hivyo, na kama alimpa mtu lifti inakuwaje mtu asitambue kama hereni imetoka? Hii ni Mara ya pili nakuta hereni, nahisi gari...
6 Reactions
267 Replies
24K Views
Zifuatazo ni sababu kadhaa ambazo ' Watafiti ' hawa wameziorodhesha ambazo zinaashiria tabia za Wanaume na Vijana wa siku hizi ambazo zimeondoa ule Uanamume / Ubaba / Ujana wao kiasi cha hata '...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
No motor vehicle anymore. Hakika kwa sasa imekuwa ni kasumba sana wazazi kuwapeleka watoto wao shule za boarding wangali wadogo sana. Hii hupelekea kuleta madhara makubwa sana na ndiyo...
10 Reactions
41 Replies
9K Views
DEAR LADIES, Kama umechoshwa na text za majamaa huko PM…. Kila ukijitahd kuwakataza Hawakuelewi…. Ukimblock huyu mwingine anakuja…. Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tip for You...
21 Reactions
128 Replies
8K Views
Katika tafiti zangu nilizochunguza wanawake wengi siku izi wana tabia za ubaba ndani yao mwisho wa siku madhara yake wanashindwa kuolewa, kulea familia, familia kukosa maadili na mengine mengi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
By darasa la mapenzi Heshima kwenu brothers and sisters,, Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana... Zaidi ya mara kadhaa...
3 Reactions
72 Replies
16K Views
Huu utaratibu mpya wa police wa Dar kukamata na kuwatoza faini abiria wasiovaa helmet/ kofia ngumu kichwani unatuumiza sana sisi wanaume, ukizingatia usawa huu wa uncle life imebana mno hatuna...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Niaje wakuu Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ambaye kazi yake nikumwaga zege sasa jana yamemtokea makubwa akiwa katika pilikapilika zake site akapatwa na ajali ya kuangukiwa na matofali kwa...
4 Reactions
100 Replies
8K Views
Habari wakuu wa MMU, Vijana wa MMU mnatumiaje muda wenu mbali na kushinda humu MMU kujadili mambo ya mapenzi? Kuna maisha mengine mbali na kishinda humu wakuu. Haiwezekani 24/7 uko huku unapiga...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari za mchana, Kama heading inavyosomeka mpaka mda huu nimefura kwa hasira natamani kila kitu nnachokiona mbele yangu nikipasue pasue. Stori iko hivi; Jana majira ya sa tatu nilianza...
1 Reactions
78 Replies
5K Views
- Moja ya story kubwa ambayo ilimake headlines siku kadhaa zilizopita ni kuhusu Mchekeshaji Ebitoke kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda staa wa RnB Tanzania Ben Pol akimuomba waonane na...
8 Reactions
117 Replies
21K Views
Hawa wadada wa kazi wanapitia changamoto lukuki katika hizi familia zetu..Ila leo ngoja niongelee Hii HAKI YAO YA KUGEGEDWA Hawa wanawake nao ni binadamu..Wana hisia kama mlizo nazo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawasilisha
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Kwasisi wanaume kuna nyakati za mateso zinapofika tunakuwa hatuna maamuzi mengine zaidi ya kukitumia kichwa cha chini kupanga maamuzi, Ndo hapo unakuta tunatoa ahadi zilizotuzidi kimo, Na...
9 Reactions
195 Replies
17K Views
habari wana jf wenzangu natumaini afya yenu nzuri kwanza kabisa ngependa hawa dada zetu watuombe ladhi sana sisi vijana wanaotutatangaza tuna vibamia.nko hapa beijing china kwa ajili ya masoma...
4 Reactions
31 Replies
12K Views
Habari wanajukwaa, polen na majukum. Niende moja kwa moja mwenye topic,. N kuhusu wanaume wa siku hz kupenda wanawake wenye misambwanda mikubwa kiukweli sisi ambao hatuna misambwanda tunaumia sn...
13 Reactions
121 Replies
15K Views
Ni ngumu kujua ila inakupasa kujua...kuna sababu yakuwa single man au single woman.. Tazama.... 1.Watu wengi si waaminifu katika mahusiano.(players) 2.mahusiano mengi ya nyuma yametengeneza...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Tofauti iliyopo kati ya yule mwanamke anayekubali kuingia kwenye mahusiano au ndoa kabisa kwa sababu anataka kujimudu kiuchumi kutoka kwa mwanaume wake, na yule mwanamke aliyejitegesha kwenye...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia hili neno la mtu wa miraba minne,mara nyingi wanawake ndio hupenda kulichagiza kwa kusema kuwa hupendelea kudate na mtu wa miraba minne,je huyo mtu wa miiraba minne yupoje? Hiyo...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…