Yellow bone
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 256
- 330
Ni ngumu kujua ila inakupasa kujua...kuna sababu yakuwa single man au single woman..
Tazama....
1.Watu wengi si waaminifu katika mahusiano.(players)
2.mahusiano mengi ya nyuma yametengeneza uchungu na historia zinasosababisha uchaguzi wakuamua kuwa single..
**Watu wameumizwa kiasi ambacho majeraha waliyonayo mioyoni mwao hayawezi kupotea kirahisi kwasababu yakutosamehe...
BUT
Only strong man and strong woman Try again...
Cc. Really Single Man & Woman
...
.......