Ulishawahi kuingizwa mjini, au kumuingiza mjini mpenzi wako?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Kwasisi wanaume kuna nyakati za mateso zinapofika tunakuwa hatuna maamuzi mengine zaidi ya kukitumia kichwa cha chini kupanga maamuzi,

Ndo hapo unakuta tunatoa ahadi zilizotuzidi kimo,
Na hautoamini pale ukitukuta tunatoa uongo mtakatifu ili tu tupate tunachokihitaji, na tukishapewa huwa angalau akili zetu ndio zinaturudia na kujikuta tuliahidi viwanda ilihali sukari inatushinda kununua..!
-
Serious! Sio muda wote tuna'winn Muda mwingine wanaume inakula kwetu pale tunapokumbana na vyura vya jangwani,
Vile vyura vyenye kiu ya hela!
Hapo tunajikuta tunatapeliwa kiulaiiini kabisa au tunalizwa kilio cha mbwa!
-
Na kwa upande mwengine pia wapo wanawake na wanaume waliowahi kutapeli au kutapeliwa,
'

Sasa leo tunayaweka mambo bayana na hapa tunatiririka tekniki au fix alizotumia / au ulizotumia kufanya nae mapenzi kisha kutotimiza mlichoahidiana..
 
Kuna dem mmoja nilikutana nae maeneo ya viwanja vya kujidai,
sasa kumuona nikamuibukia kwavile nilikuwa sina kampan, ikabidi nianze kutumia maujanja na akili kubwazzz za kuzaliwa, hatimae yule dem akanielewa na tunazoeana kwa muda mfupi kiasi kwamba mpaka akaamua kulipia menyu tuliyokula.
Sasa bana baada ya pale yule dem akaniachia namba yake ya simu, na hapo ndo picha lilipoanza...
.
Kunasiku ilikuwa sikukuu flan hivi dem nilimuomba aje anipe kampani hapo ndo vizinga vilipoanzia, kwanza akaniomba hela ya kusuka rasta, kidume nikajidai namkoromea kwamba sipendi nywele bandia na huwa napenda kumuona akiwa na nywele zake natural akiwa amezibana tu( hapa nimekwepa kizinga)
baada ya kukikwepa kirungu hiko mara akaniambia kwamba hana simu na ile anayotumia ni ya rafiki yake na pale itakuwaje akija bila mawasiliano.
Dah kidume nikasema sasa nimepatikana. Basi nikaumiza kichwa fasta nikapata jibu na hapo ndo nikapanga teknik za kumgonga for free... Inaendelea sasahivi
 
Andika bana, usiniangushe mkemia... Am beging you nica
Kuna hii ilitokea nilisimuliwa.

Chalii Alikutana na manzi ndani daladala akamwelewa saundisha piga kik manzi akakaa ila ile kishingo upande. Wakashuka alipokuwa anashukia manzi. Mwisho manzi akamwelewa jamaa. Wakaenda lodge jamaa akalipa chumba fresh kila kitu.

Sasa jamaa kupiga mzigo akagundua mashine siyo akapiga kidogo. Jamaa ikabidi atafute chobi ale kona . Chalii akajidai anaenda kununua chakula akavaa nguo na viatu vyake fresh bahati nzuri hakuwa na mizigo ikawa ndiyo mazima akamwacha manzi pale lodge na walishakubaliana wanalala na jamaa hadi asubuhi...

Sikumbuki iliendelea nini tena Ninja.
 
Basi ikabidi nitumie weaknes hiyo hiyo ili kutimiza lengo langu,
nikamwambia kuhusu simu usijali mimi nnazo mbili so nitakupa moja.
Hapo yule dem akafurah kweli akaniuliza nitampa lini hiyo simu, mi nikamwambia muda woowte hata sasahivi ukija nitakupa.
Basi hapo akasema kwa muda huo hatowahi kuja, ila atakuja kesho yake kuichukua hiyo simu,
ninja nikasema poa haina noma(nikajifanya kama sina shida na papuchi).
Sasa usiku wake kama kawa yule dem akanipigia sim, tukaongea sana na katikati ya stori yule dem akaniambia amechoka kukaa hostel sasa anataka nimsaidie kodi ya chumba kwa miezi sita japo chumba cha elf30=180000/=
.
Nikamwambia poa ukija kesho nitakupa.
Basi yule dem akafurahi sana, hapo hajui tu mi nnavowaza sijawahi kukitana na dem akanipiga vizinga vya mfululizo namna hiyo.. Nikajisemea na hiyo kesho ifike haraka ili nimuoneshe watoto wa town tunavyofanya... Basi tukamaliza kuongea akiwa na matumaini ya kuja kuchukua hela ya kodi pamoja na simu smartphone.:
..
Kesho yake sasa ndo picha linapoanza..
 
Kuna hii ilitokea nilisimuliwa.

Chalii Alikutana na manzi ndani daladala akamwelewa saundisha piga kik manzi akakaa ila ile kishingo upande. Wakashuka alipokuwa anashukia manzi. Mwisho manzi akamwelewa jamaa. Wakaenda lodge jamaa akalipa chumba fresh kila kitu.

Sasa jamaa kupiga mzigo akagundua mashine siyo akapiga kidogo. Jamaa ikabidi atafute chobi ale kona . Chalii akajidai anaenda kununua chakula akavaa nguo na viatu vyake fresh bahati nzuri hakuwa na mizigo ikawa ndiyo mazima akamwacha manzi pale lodge na walishakubaliana wanalala na jamaa hadi asubuhi...

Sikumbuki iliendelea nini tena Ninja.
Ohooo... Huyo sio wewe lakini ???
 
Kuna demu nilimtoa SINZA mpaka MORO kwa tamaa ya hela. nikiwa zangu geto mwenge, nilimpandisha bus kwa simu. nikamwambia tumia hela yako M-pesa inasumbua. Ukifika nitakurudishia.

Nilivyohakikisha amefika moro, nikazima simu kabsa. alikuwa anataka nimpe mtaji wa laki tatu baada ya kumgegeda.
matusi aliyonitukana ni makubwa hivi, siwezi kuyasema
 
Kesho yake mchana yule dem akanipigia simu akaniomba nauli ya kujia huku akilalamika hana hela, mi nikamwambia wewe panda gari then mwambie konda ukishuka kuna mtu atalipa.
Basi akanielewa.
Akapanda gari ila mimi nikazuga nimechelewa kufika( ili ile nauli ailipe mwenyewe)
alivyoona nachelewa ikabidi ailipe tu ile nauli kwa konda.
Basi nikafika nikamchukua ingawa alikuwa amenuna, nikaongozana nae huku nambembeleza na kumuomba msamaha pale yakaisha.
Nikawa naongoza njia ya lodge iliyokarbu na pale aliposhukia gari,
nikamkokota taratiibu huku nikijisemea Am the winner!!
Sasa kufika kwenye geti anaona tunaingia lodge akajidai kugoma, nikamwambia usijali vitu vyangu vyote nimeviweka humo ndani ikiwemo simu yako, na nilichukua room ili tuweze kukaa na kwa uhuru cuz huu mtaa sijaona mahali pazuri kwa privacy zaidi. Basi dem akanielewa tukazama ndani,
kufika kidume sijaremba na nadhani kwa nilichokifanya alisahau hata kuuliza hiyo simu ipo wapi...
Ninja nikapiga makashikashi leteee leteee! Natena lete leteee...
Tukapunga maruhani pale kwa style za kibabe mpaka tukawa hoi, tukaoga zetu kisha nikamwambia unajua nimesahau kadi yangu ya bank sasa ngoja tutoke nje nimpigie mdogo wangu aje aniletee, hatochelewa cuz hom sio mbali,
then twende ATM tukatoe hela uliyohitaji...
Hahaha
si unajua madem njaa njaa walivyo? Kusikia ATM tu kakubali mbio mbio, mwenyewe sijui aliwaza nini...
Basi tukatoka nje nikamtafutia Tax kisha nikamwambia, unajua tukimsubiria anaweza kuchelewa sasa kama una hela ya tax wewe lipa kisha uende mi nikaifuatilie kadi kisha nikitoa hela nitakuongeza na hii ya tax uliyotumia.
Dah yule dem alikubali kishingoupande,
na hapo sasa ndo ikaanza kazi rahisi kuliko zote... KAZI YA KUMPA KALENDA
 
Kuna demu nilimtoa SINZA mpaka MORO kwa tamaa ya hela. nikiwa zangu geto mwenge, nilimpandisha bus kwa simu. nikamwambia tumia hela yako M-pesa inasumbua. Ukifika nitakurudishia.

Nilivyohakikisha amefika moro, nikazima simu kabsa. alikuwa anataka nimpe mtaji wa laki tatu baada ya kumgegeda.
matusi aliyonitukana ni makubwa hivi, siwezi kuyasema
 
Kuna demu nilimtoa SINZA mpaka MORO kwa tamaa ya hela. nikiwa zangu geto mwenge, nilimpandisha bus kwa simu. nikamwambia tumia hela yako M-pesa inasumbua. Ukifika nitakurudishia.

Nilivyohakikisha amefika moro, nikazima simu kabsa. alikuwa anataka nimpe mtaji wa laki tatu baada ya kumgegeda.
matusi aliyonitukana ni makubwa hivi, siwezi kuyasema
Hizo laki 3 ukiamua kuzigegedea kwa wahaya unaweza kuzitumia hata mwaka mzima usizimalize...
Sema ulimkomoa sana duh
 
Kuna dem mmoja nilikutana nae maeneo ya viwanja vya kujidai,
sasa kumuona nikamuibukia kwavile nilikuwa sina kampan, ikabidi nianze kutumia maujanja na akili kubwazzz za kuzaliwa, hatimae yule dem akanielewa na tunazoeana kwa muda mfupi kiasi kwamba mpaka akaamua kulipia menyu tuliyokula.
Sasa bana baada ya pale yule dem akaniachia namba yake ya simu, na hapo ndo picha lilipoanza...
.
Kunasiku ilikuwa sikukuu flan hivi dem nilimuomba aje anipe kampani hapo ndo vizinga vilipoanzia, kwanza akaniomba hela ya kusuka rasta, kidume nikajidai namkoromea kwamba sipendi nywele bandia na huwa napenda kumuona akiwa na nywele zake natural akiwa amezibana tu( hapa nimekwepa kizinga)
baada ya kukikwepa kirungu hiko mara akaniambia kwamba hana simu na ile anayotumia ni ya rafiki yake na pale itakuwaje akija bila mawasiliano.
Dah kidume nikasema sasa nimepatikana. Basi nikaumiza kichwa fasta nikapata jibu na hapo ndo nikapanga teknik za kumgonga for free... Inaendelea sasahivi
wallah sitakii
 
Back
Top Bottom