Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,906
No motor vehicle anymore.
Hakika kwa sasa imekuwa ni kasumba sana wazazi kuwapeleka watoto wao shule za boarding wangali wadogo sana. Hii hupelekea kuleta madhara makubwa sana na ndiyo yanayopelekea mmonyoko wa maadili hasa katika mazingira tunayoyaishi.
Parental intouchment kwa mtoto huongeza uwezo wa mtoto kufahamu nguzo za familia. Na huongeza uwezo wa mtoto kujua majukumu ya wazazi wake. Pia humjengea kuwa mzazi kwa familia yake huko baadae.
Lakini wazazi kwa kutokujua tunayoyajenga kwa watoto wetu huko mbele tumekuwa tukiwapeleka watoto shule za boarding ambapo kwa uchache tu yafuatayo yamekuwa ni madhara makubwa.
Kuongezeka kwa ushoga na usagaji
Watoto waliopitia shule za boding katika umri mdogo kushindwa kuwa na heshima kwa wazazi na hata walio wazidi umri.
Kushindwa kuwa walezi wazuri wa familia zao kwa kuwa wameshafundishwa kuwa mtoto anaweza kukua hata asipokuwa lkaribu na wazazi wake ili mradi uwe na hela.
Walio wengi hawana uvumilivu kwenye mahusiano yao. Kundi hili ndilo linaloongoza kuvunja mahusiano yao ( ndoa).
Hawana upendo wa kweli kwa watoto wao. Yaani kundi hili kumuona anakesha bar hadi usiku wa manane huku watoto wake wako pekee yao nyumbani haoni shida.
Ndiyo wanao ongoza kwa ulevi wa kupindukia kwa kuwa they do see any importance ya kukaa nyumbani.
Unaweza ongeza na wewe, ila tufundishane kuwalea watoto wetu mpaka wafike umri wa miaka at least 7.
Hakuna jambo zuri kama kumlea mtoto wako mwenyewe kuanzia uchanga wake hadi kufikia ukubwa.