pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,689
Tofauti iliyopo kati ya yule mwanamke anayekubali kuingia kwenye mahusiano au ndoa kabisa kwa sababu anataka kujimudu kiuchumi kutoka kwa mwanaume wake, na yule mwanamke aliyejitegesha kwenye danguro usiku akijiuza mwili wake kwa wanaume wapita njia ili alipwe kwa huduma yake... ni ndogo sana.. ila hawa wote ni MALAYA.
Tofauti yao ni ule mstari unaomtenganisha mbadhilifu wa mali za umma kwa kutumia document za ofisini [ huwa wanamuita Fisadi ] na yule mtu ayevunja banda la kuku usiku kwenye nyumba ya jirani na kuondoka nao [ huwa wanamuita Kibaka ].. ila hawa wote ni WEZI.