Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom? Cheki hapa

mussa victor

Senior Member
Jul 12, 2015
116
162
By darasa la mapenzi

Heshima kwenu brothers and sisters,,

Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana...
Zaidi ya mara kadhaa ya relationship nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira baada ya muda fulani wa Relationship kwa kisingizio cha kuwaumiza..
Na mara nyingi Mwanaume asipo push matumizi ya condom Msichana hawezi kupush yeye,,, Wanapenda sana kuaminiana kirahisi rahisi na kikubwa wanachojali ni Mimba tu so wakiona wapo kwenye safe days wanaona wapo Safe kwa kila kitu..
Mwanzo nilijua ni baadhi tu but katika stories na jamaa zangu wengi wamekutana na hicho kitu na kila mmoja anaeleza kuwa her Girlfriend hapendi Condom kisa Zinawaumiza...
Na hii ipo sehem nyingi sana na sana..

Hii hali inatisha kama Ukweli Ukimwi utaisha kwa situation kama hizi...Ndio maana kuna Mdau mmoja anapenda kusema Kupata HIV ni sign of Unlucky to you as people are not descent as they pretend to be when it comes to S#x/love making issues although they are negative...


Wadada naomba Mtupe majibu ya ukweli na uwazi.
 
Mwanzo nilijua ni baadhi tu but katika stories na jamaa zangu wengi wamekutana na hicho kitu na kila mmoja anaeleza kuwa her Girlfriend hapendi Condom kisa Zinawaumiza...
Na hii ipo sehem nyingi sana na sana..

Hiyo bolded hapo inanichanganya, nashindwa kuihusianisha na kipande hicho cha habari.
 
Mleta mada una nia mbaya kwasisi ambao tulishapitia sehemu hatarishi ambazo kabla hajutazama ukitazama kwa nje unavutika mpaka unashindwa ku resist ila ukizama sasa unakutana na wakora na stim inakata inabidi ukatafute magadi au detol uogee mwezi ndio ujione poa kiaina..


Tumieni kinga jamani usione ana kipwinto kwa back ukajua kiafya yu fit, anapata matunzo safi na anazingatia milo hivyo sio rahisi kumgundua, take care
 
Unajua tena kuwa mara nyingi wanawake hawapendi kujadili habari ya kuwa; Sasa umeniandaa vya kutosha ingia. Wanajiona ati utamwona ni malaya. Hivyo hata kukuuliza kama umeivaa kwake ni taboo. Anajua kuwa akikuuliza hivyo siku ukiisahau halafu ukafanya na mimba ikitokea utarusha miguu kuwa hujawahi kuingia ukiwa tupu.
Ni mawazo yao tuu lakini kwangu natamani saana anayeniambia vaa silaha au njoo sasa
 
Kwani wanaume mnapenda kuvaa condom??

Binafsi mara ya mwisho nilijaribu tu kuivaa mwaka 1996 na mpaka sasa hata siijui ipoje na ikitokea kuna Demu nataka tu Kumbandua halafu akanikumbusha nivae Condom hapo hapo Mkuyenge wangu hunywea kisha navaa Mchupi wangu najiondokea zangu au namtimua Yeye ( Demu ) mule Chumbani au Maghetoni. Nikiambiwa kuwa chagua kati ya kutokuvaa Condom na kutoa au kupokea rushwa ni kipi nakichukia sana bila kuchelewa nachukia kuvaa au kutumia Condom wakati wa Kubandua. Ila lakini hata Dhehebu langu la Roman Catholic na lenyewe halitaki kabisa matumiza ya Condoms kwa Waumini wake kwa sababu kwamba tunawapoteza Wachapakazi wengi wa nchi na dunia wa baadae.
 
mi mwenyewe sipend kugonga dem na kondon asee kitu kavu kavu mzee ndo tamu
 
Back
Top Bottom