Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani Nina rafiki yangu alikuja kuniomba ushauli ya kwamba kuna mdada ana date nae sasa takribani mwezi sasa ila mpaka sasa ameshidwa kuelewa tangu waanze uhusiano na huyu mdada , Huyu mdada...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
hivi kwanini baadhi ya sehemu ya maungo ya mwanamke huwa zinakuwa na rangi iliyowiva mfano mapaja unakuta ni meupeee mazuriii kuliko uso au mikono hivi ni nini huwa kinasababisha
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Mada tajwa hapo juu ihusike; Kwa familia zilizo na wazazi wawili na zikabarikiwa watoto, nyingi miongoni mwazo zina ugomvi. Hii ni kwa sababu chache au nyingi znazotofautiana kutoka familia moja...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mi kuna demu alkuwa anakuja pale home rafiki ake sista daah ni mkali hatari siku moja nkamuazima Simu yake nkampigia daah akasema hana mchumba ghafla akaenda sweden kakaa kama mwaka hivi akarudi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Maisha tuliyowakuta wanaishi babu zetu na bibi zetu yalikuwa unaweza ishi na mke mnalala kwenye mkeka, hamna godoro mnashinda na njaa hata siku mbili, lakini penzi halipungui hata tone wanazidi...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30,nahitaji smart girl 20-25yrs ambaye baadaye atakuwa mke, sijatahiri lakini niko bukoba
1 Reactions
18 Replies
1K Views
MWANAYUMBA: PART II Juni 2015 ***kabla hujaendelea hakikisha unasoma kwanza: Mwanayumba... MWANAYUMBA (Inspired by Chege’s song – Mwanayumba) *** Ilikuwa siku ya Jumamosi, mwanzoni kabisa...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Unaishi katika nyumba ya kupanga, hauishi pekeyako, wapangaji mpo wengi na baadhi yao ni mabachela..( wasela) umeoa na mkeo unampenda sana, na katika kupenda huko una wivu nao kinoma... Kipato...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
No 1 Huyu alikua mwanamke ambaye nilidate nae kwa muda mrefu kipindi hicho.... Nakumbuka nlikua form 6 enzi izo ndo nakutana na bikra ya kwanza... Mambo hapa hayakua magumu sana beside some...
9 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari kwa wanajukwaa wa LOVE CONNECT, Nina uhitaji mkubwa sana wa mchumba. Sio mchumba tu, aje kuwa wife so msaada wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22, rangi ya Obama, ni mjasiriamali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkulima pia ni mjasiliamali. Nashukuru mungu hapa nilipo fika ninauwezo wa kuhudumia familia. Mimi ni mkristo nahitaji kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mm ni mkaka wa miaka 35,natafuta. Mke, awe mrefu, mweupe, miaka 29 had 32,
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za sikukuu ndugu zangu wakuu Hope Bila Shaka mko poa na ujenzi wa taifa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo mimi ni kijana wa miaka 29 ninatafuta mwenza ambaye baadae awe mke wangu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani mi nikijana WA miaka 19 Ata sijui ninatatizo gani kila nikijaribu kumtongo mwanamke ukataa sasa sijui huwa nakosea wapi naombeni msaada wenu
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Silvester Niko dar umri miaka 27, natafuta mpenzi au mchumba awe na miaka 18-27 atokee dar, Awe na umbo namba 8 mrefu kidogo na mfupi kidogo mwelewa na mkweli. Namba yangu ya simu ni 0714002998.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamni kama head inavyojieleza hapo mim nmekuwa muhanga wa kungatwa au kutolewa manundu na wapenzi wangu ote nlowahi kuwa nao,sasa niulize jamani nin sababu inayofanya mningate ngate hivi nyie wadada
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Gdmorning everybody, Wandugu leo ni siku ya wanawake duniani kote. Tunasheherekea na kufurahi. Lakini sio kusheherekea tu bali ni kujivunia jinsi tulivyo wanawake wa nguvu na maendeleo...
3 Reactions
15 Replies
7K Views
Hii nime iexeperience mimi mwenyewe. Baba na mama hawakua apamoja baba akanichukua nikiwa drs la kwanza mpk nikamaliza chuo niko nae kwa mama naenda tuu kumsalimia. Kilichotokea ni mimi kua na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
First respect as those of first Batalion.... Kimsingi nimeachana na wanawake wengi kutokana na tabia yao ya kutaka kubania kunako hadi ndoa, najiuliza kwani pale ndo kuna...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki wana Jf, ni matumaini yangu tu salama na tunaendelea na majukumu wengine na mapumziko ya mwisho wiki. Ninakuja kwenu great thinkers mnisaidie kwa mawazo na...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…