Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,823
- 49,895
Hii nime iexeperience mimi mwenyewe. Baba na mama hawakua apamoja baba akanichukua nikiwa drs la kwanza mpk nikamaliza chuo niko nae kwa mama naenda tuu kumsalimia. Kilichotokea ni mimi kua na upendo mkubwa kwa baba yani mpk mama nikienda namuita baba sikua na hisia kubwa kwa mama. Na hii imepelekea mama na yy naona kama upendo wake upo zaidi kwa dada angu aliebaki nae. Jamani tuelezane na tujifunze kwa pamoja