Rangi nzuri ya baadhi ya maungo

Rangi nzuri ya baadhi ya maungo

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,600
Reaction score
21,448
hivi kwanini baadhi ya sehemu ya maungo ya mwanamke huwa zinakuwa na rangi iliyowiva mfano mapaja unakuta ni meupeee mazuriii kuliko uso au mikono hivi ni nini huwa kinasababisha
 
Joto lake limeivisha taratibu, paja likaiva
 
hivi kwanini baadhi ya sehemu ya maungo ya mwanamke huwa zinakuwa na rangi iliyowiva mfano mapaja unakuta ni meupeee mazuriii kuliko uso au mikono hivi ni nini huwa kinasababisha


mkuu picha mbona inagoma kufunguka
 
Wanawake ambao mapaja ni meupe kuliko sura, huwa ni watamu balaa.
 
Back
Top Bottom