Tabia ya kungatana wakati wa kufanya mapenzi

Tabia ya kungatana wakati wa kufanya mapenzi

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,882
Reaction score
10,218
jamni kama head inavyojieleza hapo mim nmekuwa muhanga wa kungatwa au kutolewa manundu na wapenzi wangu ote nlowahi kuwa nao,sasa niulize jamani nin sababu inayofanya mningate ngate hivi nyie wadada
 
Wavulana wa kisasa kwanini mnapenda sana kulalamika..[emoji45] [emoji45]
Mbona yule kiongozi mkubwa alipigwa na stuli na kunjika mguu na hakuwahi kulalamika....[emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja nisitoe siri za wakubwa
 
Binti wa Kizaramo Bi Sikuzani aliolewa na na
Chacha, Mkuria safi wakawa wanaishi Musoma
kwa mapenzi ya hali ya juu. Siku moja
wakaamua kuja Kisarawe kuwasalimu wazazi
wa Sikuzani. Bahati mbaya Chacha akaugua
malaria kali sana na kwa siku mbili hakuweza
kula. Hatimae siku ya tatu mama mkwe aliingia
kwenye chumba cha mkwewe kumjulia hali
akamkuta kidogo ana nafuu; MAMA MKWE : Vipi
baba unadhani tukuletee nini? CHACHA:
Mukiniretea uchi wa moto nitacharibu kidogo
MAMA MKWE : (Aliondoka kwa aibu) We
Sikuzani, mumeo naona amepona anakuhitaji
upesi
 
Naona umeleta malalamiko yako kwenye jukwaa la malalamiko.
Usijali mods watakusaidia
 
Usikute huwa unajipaka yale mafuta yanayonukia biscuit....nilikutana nayo kwa Girlfriend wangu, yaani ananukia kama choclate nusura nimng'ate.

Na hata ukipita kwa Nyuki unanukia wanakung'ata wakidhani maua.
 
Hahaha mkuu hao warembo wako wana asili ya Vampire nini?? [HASHTAG]#Utani[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom